Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Wewe Mbowe wewe!! Unajisifia mwenyeweNimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.
Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo yanawabeba kisiasa wapinzania wao.
Leo Makonda amethibitisha kukosa maarifa na kujimaliza mwenyewe pasipo kujua huku akimpaisha aliedhani anammlaliza kisiasa.
Kwanini?
Below is a very simple exaplanation:
Mwaka 2005, aliewahi kuwa Raisi wa Afrika kusini,Nelson Mandela aliutangazia ulimwengukuwa mwanae alifariki na ugonjwa wa UKIMWI na kuwataka watu kuchukua tahadhari.
kwahiyo(tukifanya assumption kuwa ni kweli Mbowe amesitisha maandamano baada ya mwanae kupimwa na kuonekana kaaugua korona)Mbowe kafanya alichofanya Mandela baada ya kuona mwanae kapata huo ugonjwa hivyo kasitisha ili kuokoa watanzania wengine kama alivyofanya Mandela kwa waafrika kusini tofauti ni kwamba Mbowe hakutangaza hadharani ugonjwa wa mwanae jambo linalohitaji ridhaa ya mwanae huyo.
Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi
Kwahiyo ndugu zangu,watakaomuamini Makonda na kisha wakatafakari,nwatagundua Mbowe alikuwa na nia njema na wakikumbuka alichofanya Mandela mwaka 2005, watamuona ana busara sawaswa na ya Mzee Mandela.
Nasisitiza,hawa watu wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajimalize wao wenyewe huku wakidhani wanawamaliza wabaya wao kumbe ni kinyume chake.
Hata yule aliesema tunatumia dola kubaki madarakani na yule alietinga mageraza na msafara wa magari bila kujua ingemgarimu, wote hawa wamekosa/wamenyimwa maarifa ili wajiumbue kwa kauli na matendo yao mbele ya umma na hatimae wadharaulike kabla ya kuanguka.
Ukweli kwamba Mbowe alijua mwanae ni mwathirika wa kirusi hatari cha korona, naye na familia nzima huenda wakawa pia wameambukizwa, bado alienda Dodoma akafanya mkutano na waandishi wa habari, na isitoshe asiwambie kuwa mwanae ni mgonjwa tayari, hadi pale Makonda aliposema hadharani. Wakulaumiwa ni Mbowe.Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.
Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo yanawabeba kisiasa wapinzania wao.
Leo Makonda amethibitisha kukosa maarifa na kujimaliza mwenyewe pasipo kujua huku akimpaisha aliedhani anammlaliza kisiasa.
Kwanini?
Below is a very simple exaplanation:
Mwaka 2005, aliewahi kuwa Raisi wa Afrika kusini,Nelson Mandela aliutangazia ulimwengukuwa mwanae alifariki na ugonjwa wa UKIMWI na kuwataka watu kuchukua tahadhari.
kwahiyo(tukifanya assumption kuwa ni kweli Mbowe amesitisha maandamano baada ya mwanae kupimwa na kuonekana kaaugua korona)Mbowe kafanya alichofanya Mandela baada ya kuona mwanae kapata huo ugonjwa hivyo kasitisha ili kuokoa watanzania wengine kama alivyofanya Mandela kwa waafrika kusini tofauti ni kwamba Mbowe hakutangaza hadharani ugonjwa wa mwanae jambo linalohitaji ridhaa ya mwanae huyo.
Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi
Kwahiyo ndugu zangu,watakaomuamini Makonda na kisha wakatafakari,nwatagundua Mbowe alikuwa na nia njema na wakikumbuka alichofanya Mandela mwaka 2005, watamuona ana busara sawaswa na ya Mzee Mandela.
Nasisitiza,hawa watu wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajimalize wao wenyewe huku wakidhani wanawamaliza wabaya wao kumbe ni kinyume chake.
Hata yule aliesema tunatumia dola kubaki madarakani na yule alietinga mageraza na msafara wa magari bila kujua ingemgarimu, wote hawa wamekosa/wamenyimwa maarifa ili wajiumbue kwa kauli na matendo yao mbele ya umma na hatimae wadharaulike kabla ya kuanguka.
Ujinga mbona ni mzigo mzito sana. Mbona mnajaribu sana kwa nguvu kubwa kumfananisha Mbowe na Mandera? Mnamaanisha Mbowe yupo chini sana sasa mnajaribu kutafutatafuta vijisababu vya kitoto toto tu kujaribu kumlinganisha na Mandera…kwa maana nyingine Mbowe hajitoshelezi kwa sifa yeye kama yeye…kwa hiyo mnajaribu kujitafutiza vijambo visivyokuwa mbele wala nyuma ili mradi tu kujaribu kumpa sifa asizokuwa nazo! Mandera ni nini hata kwa watz mbona mnakosa hata ufahamu hivyo. Hebu jaribuni kusoma historia basi sio kukurupuka na kuleta upuuzi wa hivyi! Kama Mbowe hatoshei, hata mkijaribu kumfananisha na nani bado ataonekana makapi tu!Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.
Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo yanawabeba kisiasa wapinzania wao.
Leo Makonda amethibitisha kukosa maarifa na kujimaliza mwenyewe pasipo kujua huku akimpaisha aliedhani anammlaliza kisiasa.
Kwanini?
Below is a very simple exaplanation:
Mwaka 2005, aliewahi kuwa Raisi wa Afrika kusini,Nelson Mandela aliutangazia ulimwengukuwa mwanae alifariki na ugonjwa wa UKIMWI na kuwataka watu kuchukua tahadhari.
kwahiyo(tukifanya assumption kuwa ni kweli Mbowe amesitisha maandamano baada ya mwanae kupimwa na kuonekana kaaugua korona)Mbowe kafanya alichofanya Mandela baada ya kuona mwanae kapata huo ugonjwa hivyo kasitisha ili kuokoa watanzania wengine kama alivyofanya Mandela kwa waafrika kusini tofauti ni kwamba Mbowe hakutangaza hadharani ugonjwa wa mwanae jambo linalohitaji ridhaa ya mwanae huyo.
Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi
Kwahiyo ndugu zangu,watakaomuamini Makonda na kisha wakatafakari,nwatagundua Mbowe alikuwa na nia njema na wakikumbuka alichofanya Mandela mwaka 2005, watamuona ana busara sawaswa na ya Mzee Mandela.
Nasisitiza,hawa watu wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajimalize wao wenyewe huku wakidhani wanawamaliza wabaya wao kumbe ni kinyume chake.
Hata yule aliesema tunatumia dola kubaki madarakani na yule alietinga mageraza na msafara wa magari bila kujua ingemgarimu, wote hawa wamekosa/wamenyimwa maarifa ili wajiumbue kwa kauli na matendo yao mbele ya umma na hatimae wadharaulike kabla ya kuanguka.
Kweli kabisaUkweli kwamba Mbowe alijua mwanae ni mwathirika wa kirusi hatari cha korona, naye na familia nzima huenda wakawa pia wameambukizwa, bado alienda Dodoma akafanya mkutano na waandishi wa habari, na isitoshe asiwambie kuwa mwanae ni mgonjwa tayari, hadi pale Makonda aliposema hadharani. Wakulaumiwa ni Mbowe.
Isitoshe, Ni wangapi ambao Dudley, mwanae amekutana nao ikiwa ni pamoja na familia! Ni wangapi familia ya Mbowe imekutana na, ikiwa ni pamoja na Mbowe!
Tuombe tu Mola apishe mbali hiki kikombe maana Dar na Dom siyo salama tena ikizingitiwa vijana bado wanajirusha kwenye starehe
Wivu wa kushindwa kumtia mimba mkeo ndiyo unakusumbua wenzako tukigusa tu kitu kinajibu,wacha haka katabia kachafu.Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?
Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?
Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anasema ebola iko hapo Congo na haikuja kwa maombi kujustify kuwa korona haitakuja na hapohapo akitangaza imekuja kwamtoto wa Mbowe. What a shame!Hawa watu ukweli wameishiwa maarifa. Pascal Mayalla alimchambua vizuri sana. Gwajima aliwahi kusema DAB ni zero brain. Hili halina ubishi.
Hebu fikiria Serikali inavyopambana ktk kutoa elimu juu ya mikusanyiko lkn yy kakatiza mitaa huku akiweka mikusanyiko eti anawapa elimu! Tunasubiri Waziri Mkuu alitolee ufafanuzi. Vinginevyo zoezi lake litakuwa halina maana.
Sent using Jamii Forums mobile app