Kama maisha ni magumu, achana nayo

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,362
Kama kichwa cha habari kinavyosema...
Ugumu wa maisha na umasikini wakati mwingine unasababishwa na manung'uniko yako binafsi...

Wakati mwingine manung'uniko huleta laana na ata kujizibia riziki...wewe kila siku unalalama mara ela ngumu..mara sijui magufuli kafanyaje....kiasi kwamba ata Mungu anakushangaa na mzushi as unashindwa ku-acknowledge ata kile kidogo anachokupa....

Embu kuwa mtu wa shukrani na ishi maisha ya kitajiri....ingawa wewe ni masikini then utaona mafanikio yake....

Nawasilisha...
 
Kama ni magumu umeshauri mtu aachane nayo unamaanisha afe...?
 
Hivi inawezekana kuishi maisha ya kitajiri while mfukoni huna kitu hujui hata utakula nini.??
 
Muhimu ni kuachana na manung'uniko na kuweka bidii katika kutafuta riziki na mafanikio kwa ujumla. Lakini kauli kwamba ukiona maisha ni magumu njia mbadala ni kuachana nayo siyo sahihi na haivutii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom