Hiyo ID mkuu nimeikubalikaka Mshana tafadhari nilitaka kupaliwa na kiroba original nimekimix na krest lemon, kwa kicheko nimefulia leo mwendokasi nimeishia kuzichungulia frijini kaunta. ndio nakutana na hii kitu wakati napunguza stress humu jf
Mkuu hayo maneno ya kwenye hiyo id yana maana gani kwa kiswahili!Hiyo ID mkuu nimeikubali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ID mkuu nimeikubali
Hilo la kwanza ni jina tu ila hill neno la pili maana ya ni mtanashatiMkuu hayo maneno ya kwenye hiyo id yana maana gani kwa kiswahili!
pamoja mkuu nimekupata!Hilo la kwanza ni jina tu ila hill neno la pili maana ya ni mtanashati
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] kula bhata..!