Ha ha haaah!, napenda sana matukio ya Rais. Hata bakora zitashikwa huu msimu, heshima ya uraisi nadhani imerudi, nidhamu na utii nadhani vimerudi, jamaa akikatiza mahali naona watu wakipoteza mwelekeo wengine wakifurahia ujio wake!! Loh, hiyo katuni ina raha yake..a.........Alamba alamba haisikiki ovyo mjini!!!! ha ha haaaaaah!