Kama kweli unanipenda tukapime UKIMWI

Kama kweli unanipenda tukapime UKIMWI

Duuu.....nilipata mshefa mmoja nikampga pesa nikabania mzigo kwa madai tukapme ngoma kwanza nikijua atagoma ndo kwanza kesho yke faster kaja n vpmo ananiambia tupme Anile mzigo n Mimi kupma naogopa balaa maana ukimwi siyo malaria kwamba ntapga mseto nikabaki nambwelambwela tu....mzee akashtukia nahic no yng alifuta maana hajawah hata kubpu

Kwahyo hukumpa mzgo aisee. Nyie wadada ni wakatili sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom