Wanajamvi,
Kama kawaida yangu mgeni nisiyekosa neno nimerudi tena na tafakuri hii, kutokana na kusalitiana na mahusiano mengi kulega lega sana hasa kwa vijana wa kileo a.k.a. Makeup boys n' girls je? ni sahihi kweli kipimo cha mapenzi ya kweli kibaki kupima UKIMWI kwanza kabla na baada ya kuanza mahusino tena mara kwa mara ukizingatia kitapunguza sana tatizo la watu kuchepuka kulikokithiri na kusabisha magonjwa yanayoepukika.
Mimi ukinipenda au nikakupenda moja kwa moja kwenye vipimo kwanza mengine baadae au ndo nitawakosa kabisa mabinti?, sijui vijana wenzangu imekaaje hapo maana tunajuana wanaume tulivyowabishi kupima UKIMWI na ukitaka talaka isiyo na maelezo ya kutosha au upigwe kibuti mchana kweupeee! mwambie mtu wako mkapime UKIMWI uone shughuli yake ilivyo pevu, mabinti kwanini hamuwakomalii watu wenu wapime ukimwi?
Hebu naomba tukumbushane siku ya kwanza uliyopima UKIMWI hali ilikuwaje upande wako ?
Ni hayo tu wakuu.