Kama kweli Rais ana nia ya kufuta rushwa nchini aruhusu turekodi matukio ofisi za serikali

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,809
Reaction score
8,970
Kama kweli Rais ana dhamira ya kuondoa Rushwa, uonevu, na aibu za kila aina katika ofisi za umma basi atoe ruhusa maeneo hayo watu kupiga picha na kurekodi sauti na matukio

kama tunavyoonaga watu wakirekodi kwa kificho na inakuwa inaisaidia serikali kuwapata wanaofanya hayo matukio.mabaya basi iwe huru tu kurekodi

akianzaia na POLISI, MAGEREZA, MAHAKAMANI, HOSPITALI, TRA, UHAMIAJI, na OFISI ZA HALMASHAURI.
kama kweli anajiamini aweke sheria ya kurekodi ili kusafisha hawa watu ofisi za umma
 
Duu, kwa hiyo na ofisi yake nayo itahusika ?
 
Matokeo itakuwa ni VILIO vya wananchi na ONGEZEKO kubwa la mapato ya serikali.

Maana TRAFFIC hatachukua, elfu 5 ila atakuandikia elfu 30.
 
Back
Top Bottom