Ndg. huko siyo pakutembea.. huko ni mavuna 24/7 !! wenzetu wapo siriosi..... Mkulima anaheshimika na kutukuzwa !! hakuna siasa na ubabaishaji!!Duh nimeyatamani hayo mazingira sijui lini nitafika huko
Kama kweli kilimo ni uti wa mgongo ningetegemea kuona mambo kama haya.....
Tabora,Iringa Ruvuma
Mmekalia majungu.