Kama kweli CHADEMA wanasimamia demokrasia basi huu ni mwisho wa dunia, Jesus is coming soon

Kama kweli CHADEMA wanasimamia demokrasia basi huu ni mwisho wa dunia. Jesus is coming soon.Mimi ni shuhuda wa mbegu za chuki zilizoanza kupandwa toka alipopewa Mbowe nafasi ya Uenyekiti.

CHADEMA wa sasa hawana utu. Mitusi yao wanadhirisha chuki kuu dhidi ya utawala. Ukifikiria zaidi utajikuta ukiwahusisha na mauaji ya mamluki wa CCM ambao CCM tunawatumia kupata taarifa mbalimbali.
Iv mnadhani wale waombolezaji waliobeba na kupokonywa yale mabango jana walikuwa wajinga? Na wale wametumwa na chadema? Iv mnafikiri unyama waliofanyiwa watu huko kibiti wamewasamehe? Iv mnafikiri ndugu zake yule binti wamesamehe kwakuwa mmepeleka.viroba vya mchele pale? Anayechochea chuki ni yule aliyeenda kuropoka mambo ya hovyo kabisa kule zanzibar ati kisa maalim kakataa lutoaa mkono kwa mtu aliyempora? Huyu anayetukana hata viongozi waliomfikisha hapo alipo kisa frastrations.
Kaa ukiamini kuwa kuwauwa na kuwabana watu ndio maendeleo hakika wakipumua siku moja kitakua kilio
 
Verified User je una ushahidi wa mauaji yanayofanywa na CHADEMA? Ukipewa kesi hapo utajiteteaje?

MwanaCCM mwenzangu kuwa makini na kauli zako, wazungumzia chuki kwa kuonesha chuki yako waziwazi.

Hubiri amani sio chuki.
Mawazo yangu ndio utofauti wangu na wewe
 
Swala la siasa kwa kijana ndani ya TZ hii tuijuayo ni kusikiliza tu kwenye taarifa ya habari au kusoma kwenye gazeti na sio kutenga muda kabisa eti unaandika thread ya siasa, au unaenda kwenye mkutano. Aidha uwe umeajiriwa na chama husika au wewe ni jobless na kama unakazi basi ni mvivu wa kutupwa. hata huu muda niliotumia kuandika hii comment naujutia..tafakari!
nipo hapa kutetea taifa langu dhidi ya wazungu
 
Baba ako bora angetumia condom..asingeleta aibu hii! Watu kama nyie siku mkifa sisi wengine tunapata faraja sana.
 
Back
Top Bottom