Kuna shida gani kutangaza TPA CNN? Lengo nikuifikia East Africa na nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara, ebu mleta taarifa tuambie TV gani inaweza tumika hapo? Inayoweza fikia nchi zaidi ya 10 za kusini mwa Afrika?
Tatizo kwa akili yako ndogo unajua CNN wanalenga watazamaji wa marekani
wanalenga nchi za sub Sahara
Lakini pia hata kama ni Marekani na kwingine kuna makampuni makubwa huko yanafanya biashara na nchi za Afrika. Kwaio kuwaonesha TPA ni sawa, kwakuwa wanaweza opt Dar es salaam kwa biashara na mizigo yao
Na kumbuka ni CNN chanel (DSTV) kwahio walengwa ni waafrika