Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,808
- 11,483
habari waungwana. kama kuna mwana JF yoyote anayeishi Mpanda(yupo huko kwa sasa); tafadhali naomba tuwasiliane hapa. Nina shida sana binafsi maeneo hayo. Ahsanteni
Nipo hapa mkuu,tena mpanda kati