Kama kuna mtu amepitia madhira kama ya Mbowe basi amnyoshee mkono

Ya kuua watu kwa ajili ya kulinda uenyekiti? Yaani timu Mbowe I can’t imagine kama Zitto angekuwepo na akina Chacha Wangwe (mbowe anajua alichomfanyia), Dkt Slaa (alitishiwa kuwa mu Wangwe), naamini chama kisingekufa. Ila kwa sasa limebaki genge la mafisadi.
Tikiti maji
 
Mbowe amepitia Kama ya Kubenea alipewa mpaka tindikali!

Mbowe kapitia ya Lissu kupigwa Risasi?

Mbowe muweke kundi la Nusrat hanje na Mdee kuwekwa ndani tu !
Umeambiwa kama umepitia madhila kama ya Mbowe nyosha mkono. Sasa wewe ndio Nusrat?
 
Madhila gani tena .......si ya kujitakia............kilichomuondoa BOT ni nini?? Anafikili urais ni kama kupiga nyeto ukipewa sabuni na maji Kwisha habari ..
......mwambie haache Tamaa.......uenyekiti miaka 25😂😂😂😂 duuuu
 
Kuna kitu nakiona binafsi naumia Sana, yaani watu hasa CCM na vyama shikizi wanatumia sakata la Covid-19 ili kumdhiahaki Mbowe na kimdharirisha. Sasa Kama Kuna mwanasiasa yeyote Tanzania ambaye amapitia haya Basi amnyooshee Mbowe kidole, lakini Kama wewe ni keyboard worriors ata mahabusu hujawai kulala. Funga Domo lako

- Mbowe alitumia muda mwingi kutafuta vijana vyuoni, kuwasaidia Kampeini, kifedha na kweli baadhi ya hao vijana walipata madaraka na umaarufu kupitia Chadema ya Mbowe, mtu Kama Nassari, Mdee, Nusrat,Zitto, Mashinji,Lijualikali etc wote Mbowe aliwashika mkono Ila mwishoni walimsaliti.lakini hakukata tamaa.

-Mbowe alifilisiwa Mali, Account zake zikafungwa, Mashamba yake yakafyekwa, Billicanas ikavunjwa, Gazeti lake likafungwa, hotel zake zilikuwa zinatizwa Kodi Kali lakini bado Mbowe hakukata tamaa.

-wabunge wa chama chake wakanunuliwa kina Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, etc katibu mkuu wake Mashinji akanunuliwa, lakini Mbowe hakukata tamaa.

-Mbowe alipewa kesi ngumu ya Ugaidi, amesota jera miezi nane, hakuwapigia magoti watawala Hadi wakamuachia kwa aibu kubwa. Hakuna ata mtanzania ATA mmoja aliyeandamana ata kushinikiza Mbowe aachiwe, wote waliufyata wa kuwa na keyboard worriors. Na kuchafua madaraja na Vibao kuwa Mbowe sio gaidi.

Mbowe ni tajiri, hategemei siasa ili mkono uende kinywani. Lakini bado amepambana na kupigania haki na Katiba mpya, Hadi watawala wanabuni mbinu za kijinasua na movement za katiba zilizoanzishwa na Mbowe, ndo maana mnaona vikosi kazi vya Mchongo

Narudia Kama Kuna Mwanasiasa hapa Tanzania amepitia madhira na misukosuko ya kisiasa aliyopitia Mbowe mtajeni na Mnyooshe Mbowe kidole.

Ila Kama Ni keyboard worriors shut up and keep quiet.
Fedha alizozitumia kuwasaka vijana enzi hizo alizirudisha na faida juu pale alipompitisha lowersir kuwa mgombea urais ( elimu, elimu, elimu ). 😁 jela alisota wapi, wenzake wanakula pingu ye yuko free tu. Na nadhani alikuwa anakula kuku huyu mwamba huko gerezani.
 
Kuna kitu nakiona binafsi naumia Sana, yaani watu hasa CCM na vyama shikizi wanatumia sakata la Covid-19 ili kumdhiahaki Mbowe na kimdharirisha. Sasa Kama Kuna mwanasiasa yeyote Tanzania ambaye amapitia haya Basi amnyooshee Mbowe kidole, lakini Kama wewe ni keyboard worriors ata mahabusu hujawai kulala. Funga Domo lako

- Mbowe alitumia muda mwingi kutafuta vijana vyuoni, kuwasaidia Kampeini, kifedha na kweli baadhi ya hao vijana walipata madaraka na umaarufu kupitia Chadema ya Mbowe, mtu Kama Nassari, Mdee, Nusrat,Zitto, Mashinji,Lijualikali etc wote Mbowe aliwashika mkono Ila mwishoni walimsaliti.lakini hakukata tamaa.

-Mbowe alifilisiwa Mali, Account zake zikafungwa, Mashamba yake yakafyekwa, Billicanas ikavunjwa, Gazeti lake likafungwa, hotel zake zilikuwa zinatizwa Kodi Kali lakini bado Mbowe hakukata tamaa.

-wabunge wa chama chake wakanunuliwa kina Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, etc katibu mkuu wake Mashinji akanunuliwa, lakini Mbowe hakukata tamaa.

-Mbowe alipewa kesi ngumu ya Ugaidi, amesota jera miezi nane, hakuwapigia magoti watawala Hadi wakamuachia kwa aibu kubwa. Hakuna ata mtanzania ATA mmoja aliyeandamana ata kushinikiza Mbowe aachiwe, wote waliufyata wa kuwa na keyboard worriors. Na kuchafua madaraja na Vibao kuwa Mbowe sio gaidi.

Mbowe ni tajiri, hategemei siasa ili mkono uende kinywani. Lakini bado amepambana na kupigania haki na Katiba mpya, Hadi watawala wanabuni mbinu za kijinasua na movement za katiba zilizoanzishwa na Mbowe, ndo maana mnaona vikosi kazi vya Mchongo

Narudia Kama Kuna Mwanasiasa hapa Tanzania amepitia madhira na misukosuko ya kisiasa aliyopitia Mbowe mtajeni na Mnyooshe Mbowe kidole.

Ila Kama Ni keyboard worriors shut up and keep quiet.
MBOWE ana Baraka zote za MUNGU na Adhabu ya MTU ALIYEMWONEA MBOWE wote tunaijua
MUNGU husimama na Mwenye HAKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Madhila gani tena .......si ya kujitakia............kilichomuondoa BOT ni nini?? Anafikili urais ni kama kupiga nyeto ukipewa sabuni na maji Kwisha habari ..
......mwambie haache Tamaa.......uenyekiti miaka 25 duuuu
Gombea umtoe very simple
 
Fedha alizozitumia kuwasaka vijana enzi hizo alizirudisha na faida juu pale alipompitisha lowersir kuwa mgombea urais ( elimu, elimu, elimu ). jela alisota wapi, wenzake wanakula pingu ye yuko free tu. Na nadhani alikuwa anakula kuku huyu mwamba huko gerezani.
Na wewe tafuta vijana wako ule faida, pia na wewe nenda Ukonga ule kuku Kama Mbowe
 
Fedha alizozitumia kuwasaka vijana enzi hizo alizirudisha na faida juu pale alipompitisha lowersir kuwa mgombea urais ( elimu, elimu, elimu ). jela alisota wapi, wenzake wanakula pingu ye yuko free tu. Na nadhani alikuwa anakula kuku huyu mwamba huko gerezani.
Ni Mbuzi gani ndani ya CCM inaweza mfunga pingu Mbowe
 
Back
Top Bottom