miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
mwache akue kwanza, na mimi niendelee na wakubwa wezangu naona huyu atanisumbua, kila akiona mwanamke mrembo atataka ajaribu maana hajajaribu, kisa cha kufa na pressure! akhaaausifanye hivyo, yakupasa kuwa mvumilivu coz kila mwanadamu anamapungufu yake. bado mapema kugive up. ndo maana nikakuomba umuingize ukubwani. Excellent hajajua hata wivu ni nini so msamehe bure. mia