Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu baada ya Vifo vya Watoto Wetu wapatao 35 vyombo vingi vya habari vimeripoti ajali hii kubwa kwa kuponda kuwa Tanzania Ina barabara Mbovu tena
Sky news
Al Jazeera
BBC
AFP
Reuters
Wameripoti kwa mfanano na Kukandamiza as kama Serikali ndo imesababisha Bila Kusahau kuna Human Error (speeding), Mechanical failure (break kufail, au fault yeyote ya gari). Na kwa Tanzania Speeding ndo Chanzo Kikubwa cha ajali. Mfanano wa habari yao ni huu hapa
Hawa huwezi kukuta wanandika habari ya Maalim Seif Kukutana na Mtuhumiwa wa Ufisadi wa Richmond (Lowassa) nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ni Lazima yawe majanga ndo waripoti.
Lakini Nchi Kubwa kama Marekani Kati ya Mwaka 2013-2015 Vimetokea Vifo vya Watu Zaidi ya 102,300 je na Wenyewe wana Poor roads/railways networks?
Data Hizi hapa Chini vyombo vya Kimagharibi Vinapenda majanga ya Africa na Kusahau ya Kwao.
Maoni ya Mtu mmoja wa Ulaya Serikali inajitahidi ikiwa pamoja na Kuweka Tochi Sehemu kubwa ya Barabara huyu Binti naye alikua anajitahidi kumwambia Ukweli. Ki Ukweli Kila baada ya dakika 20 ajali ya magari hutokea duniani.
Hatukatai kuripoti habari ila isiripotiwe kama Serikali ndo imesababisha tena Bila Kufanya Uchunguzi. Kwa Sasa tuna Barabara nzuri katika baadhi ya miji. Kazi iliyofanywa kiasi kikubwa na Rais Kikwete.
R.I.P to our daughters and Sons