Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,547
- 10,273
Ule mchanyato wa kina baggio Vieri huku del piero mara inzhagi (ambae (SAF)husema alizaliwa katika eneo la kuibia (kuotea )ilikuwa kipindi cha washambuliaji khatari sana achilia mbali ukuta wao wa chuma wa nyakati tofauti toka kwa Franco baresi ambae siku anastaafu pale sansiro wakamwambia hii jezi namba sita ni yako havai mwingine tena hapa mpaka kina maldin Nesta na canavaro ilikuwa azzuri kwelikweli wale wazee wa kubet msingepata tabu kutupia mpunga wenu walikuwa na viungo mahiri kabisa kama Pirlo ginare camoranesi ambao hatuoni wakizaliwa (sijui kina mama wa kiburuda wameweka mgomo )duuu nimemiss now baggio,cross the ball to paulo maldin ohhh nesta now he is very strong ,inzagi to penalt box gooooo Itay 1 Romania 0