Kama Italy ndo wanakosa kwenda Russia 2018 basi round hii world cup Haina maana

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,901
13,869
Yaan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy inakosa kwenda kushiriki world cup 2018 huko Kwa Purtin na mvuto wa haya mashindano umeisha bingwa maraa kadhaa anashindwa kwenda. Aiseee!!

Italy anahitaji ushindi mnono dhidi ya Sweden jumatatu hii ili afike Kwa Purtin Maana game ya kwanza Italy alichapwa 1 Kwa mtungi ugenini

Sasa nashindwa kuelewa nini Kimeikumba hii nchi jamani!

Maana hawana vita wala nini Wamezembee tu kama Netherland
 
Yan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy
Inakosa kwenda kushiriki world cup
2018 huko Kwa purtin na mvuto wa
Haya mashindano umeisha bingwa
maraa kadhaa anashindwa kwenda
Aiseee

Italy anahitaji ushindi mnono dhid
Ya Sweden jumatatu hii ili afke Kwa purtin
Maana game ya kwanza Italy alichapwa
1 Kwa mtungi ugenini

Sasa nashindwa kuelewa nn
Kimeikumba hii nchi jaman

Maana hawana vita wala nn
Wamezembee tu kama Netherland
Shenz kabsa
Nilifikiri ungesema kama Tanzania haitoshiriki....
 
waitaliano hatuna striker mwaka huu
kipindi hicho tunachagua aanze nani hatu tutamuweka nani tupo vibaya sana waitaliano

striker wetu kwa pamoja tulikuwa na
Captain dela Roma yote
Francesco Totti
Philipo Pippo Inzagh
Alessandro Del Pietro
Alberto Gilardino
Laquinta

chagua wa kuanza ila tunashinda tu
 
mb

mbona Tanzania hakuna vita lakini hatujawahi kufuzu hata kombe la Africa
 
Yan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy
Inakosa kwenda kushiriki world cup
2018 huko Kwa purtin na mvuto wa
Haya mashindano umeisha bingwa
maraa kadhaa anashindwa kwenda
Aiseee

Italy anahitaji ushindi mnono dhid
Ya Sweden jumatatu hii ili afke Kwa purtin
Maana game ya kwanza Italy alichapwa
1 Kwa mtungi ugenini

Sasa nashindwa kuelewa nn
Kimeikumba hii nchi jaman

Maana hawana vita wala nn
Wamezembee tu kama Netherland
Shenz kabsa
Nyakati zinabadilika kiongozi hata Mimi sikutegemea USA wangeshindwa kushiriki tena wenyewe walitakiwa suluhu iwayo yote matokeo wakapigwa magoli mengi tena na timu hiliyokuwa kibonde......
 
Nyakati zinabadilika kiongozi hata Mimi sikutegemea USA wangeshindwa kushiriki tena wenyewe walitakiwa suluhu iwayo yote matokeo wakapigwa magoli mengi tena na timu hiliyokuwa kibonde......
Hatar sana chief yan hata hapo
Kwa USA mm nlibak mdomo
Waz aiseee
 
mtaliano alivyo mtata... world cup russia lazima awepo...

na alivyo mtukutu unaweza muona hadi nusu fainali akafika..

huyo sweden ajiandae hiyo j 3
Dhaaaa mkuu yan umeniongezeaa moral
Kuendelea kujipa moyo I hope watafanya
Kweli wakiwa home
 
waitaliano hatuna striker mwaka huu
kipindi hicho tunachagua aanze nani hatu tutamuweka nani tupo vibaya sana waitaliano

striker wetu kwa pamoja tulikuwa na
Captain dela Roma yote
Francesco Totti
Philipo Pippo Inzagh
Alessandro Del Pietro
Alberto Gilardino
Laquinta

chagua wa kuanza ila tunashinda tu
Dhaaa kweli mkuuu round hii
Tumedoda sana
 
mtaliano alivyo mtata... world cup russia lazima awepo...

na alivyo mtukutu unaweza muona hadi nusu fainali akafika..

huyo sweden ajiandae hiyo j 3
Umekariri tu
Nafikiri hata mechi aliyofungwa na Sweden hukuangalia

Italy wa sasa weupe tu japo anaweza pindua matokeo ila siyo tishio

Yupo wapi Uholanzi ?
Chile je ?
 
Nilifikiri ungesema kama Tanzania haitoshiriki....
Hata mim, unajua kuna watu hawajui kwamba kam tz inachekwa, bhas wote tuliomo tunachekwa. Mtu anaishi kam a man of 1st world country in a 3rd world Country, na ndio shiiida hii. Sem tunaheahim maon yake
 
Back
Top Bottom