Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Makanisa yenyewe yamejengwa na binadamu hao hao ambao ni walevi na wazinzi, hizi dini zina vuruga akili zenuKutokana na kejeli za diamond platinumz juu ya kanisa katoriki, imeonekana wazi kuwa kitendo alichokifanya sio cha haki wala heshima!
Hata isitoshe kauli yake kwenye post ya Zuchu aliyoandika kuwa hii nchi ina wenyewe mara acha tuendelee kuwawakilishia taifa lao inaonesha wazi mmomonyoko mzima wa maadili!
Unahisi tungelikuwa tunaongelea habari gani kwa sasa kama angelitokea msanii mkristu akashuti video ya wimbo wake akiwa msikitini?
Na je, viongozi wa msikiti husika wangekubaliana na jambo kama hili lifanyike?
Ndo maana sometimes naona ni bora nibaki na dini yangu mwenyewe, niamke asubuhi niseme Asante Mungu, jioni niseme Mungu Nilinde! Haya mambo ya viongozi wa kanisa kupewa pesa ili kudhihaki kanisa inachukiza sana! kama yule mwongoza kwaya alivyokuwa anapanua lile domo huku akiiangalia camera! Dah!Makanisa yenyewe yamejengwa na binadamu hao hao ambao ni walevi na wazinzi, hizi dini zina vuruga akili zenu
Ni kweli kabisa hata Mondi mzee wakuhamasisha ufiraji kwenye nyimbo zake naye amejenga msikiti na waislam hawakuukataa.Makanisa yenyewe yamejengwa na binadamu hao hao ambao ni walevi na wazinzi, hizi dini zina vuruga akili zenu
Ndio mbona ni kawaida ndio ujue kuwa dini ni usanii, kuna kanisa kiongozi wa kiume anapakatwa na ibada anaongoza kule US, watu wameridhika kabisa maisha yanasongaNi kweli kabisa hata Mondi mzee wakuhamasisha ufiraji kwenye nyimbo zake naye amejenga msikiti na waislam hawakuukataa.
Bora darasa la 7 kuliko kiongozi wa dini, maana darasa la 7 yupo huru, ila kiongozi wa dini kafungwa na mafundisho yake tuuuJamani kumbukeni huyo kijana Ni darasa la 7 tu na alikua muuza maji/Mitumba.Mtamlaumu bure tu
Hapo Ni Kama yalivyo MAGAZIJUTO mixer mgagani lazima kila siku alikua anawapa kesi iko inashinda Vita kwa watu watatu fogo hata Kama hawapapendi Ndio Matatizo ya itatakiwa wabaki huko huko island.Bora darasa la 7 kuliko kiongozi wa dini, maana darasa la 7 yupo huru, ila kiongozi wa dini kafungwa na mafundisho yake tuuu
Isiwe sababu ya kuyatumia makanisa kisanii.....please kanisani siyo stejini....Ndio mbona ni kawaida ndio ujue kuwa dini ni usanii, kuna kanisa kiongozi wa kiume anapakatwa na ibada anaongoza kule US, watu wameridhika kabisa maisha yanasonga
Kwani Ali shoot kideo hapo bure?Isiwe sababu ya kuyatumia makanisa kisanii.....please kanisani siyo stejini....
Labda alitumwaKutokana na kejeli za diamond platinumz juu ya kanisa katoriki, imeonekana wazi kuwa kitendo alichokifanya sio cha haki wala heshima!
Hata isitoshe kauli yake kwenye post ya Zuchu aliyoandika kuwa hii nchi ina wenyewe mara acha tuendelee kuwawakilishia taifa lao inaonesha wazi mmomonyoko mzima wa maadili!
Unahisi tungelikuwa tunaongelea habari gani kwa sasa kama angelitokea msanii mkristu akashuti video ya wimbo wake akiwa msikitini?
Na je, viongozi wa msikiti husika wangekubaliana na jambo kama hili lifanyike?
Forn 1VJamani kumbukeni huyo kijana Ni darasa la 7 tu na alikua muuza maji/Mitumba.Mtamlaumu bure tu
Ile ndio komoa kanisa limefanywa club sio poa, vp ile haikufungiwa ?Duuuh ....kanikumbusha "church heathen" ya shaggy......