Khaa ndio nini sasa af mbele ya watu lol
anakagua usafi wa jiji
Sa ndo anakagua leo? Siku zote alikuwaga wapi?
nyie si mnaletaga stori zenu za mpaka ndoa
Hahahah....sasa si aendelee kusubiri sasa hadi ndia iishe
huyo bibie atakuwa sio mchaga
Ndio ya shida ya kulewa siku ya harusi....