Kama ilivyo kwa Patrice Lumumba na Thomas Sankara, kifo cha hayati Magufuli kitalighalimu hili taifa zaidi ya karne moja

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,281
Reaction score
7,061
Hii ipo wazi shujaa yoyote yule ambae anajitoa kupambania taifa lake ili kulinda taifa lake alafu inatokea anafariki kwa utata kiasi cha kila mtu kutoamini kama alifariki kwa natural death damu yake haiwezi kwenda bure.

Angalia Drc na Burkinafaso damu za mashujaa Patrice Lumumba na Thomas Sankara bado zinawatafuna.
 
Nonsense, Magufuli ndiye muasisi wa utekaji, mauaji, kupoteza watu, na udhali wote wa sasa. Atakumbukwa for centuries kwa kukiuka haki za binadamu kwa kiwango cha juu kuwahi kitokea Tanzania
 
Nenda kwa wananchi wa chini ambao ni 80% ya population ya Tanzania uwaeleze haya unayosema alafu uone kama hawakupigi mawe.
 
Kwa Lumpen proletariats ambao unaweza kuwalinganisha na magunia ya viazi ambayo unaweza kuyageuza unavyotaka. Majority who are not class conscious...yakipata ugali na maharage for lunch na dinner dunia Yao imeisha!
 
Kaka tumesahau maguni ya maiti kwenye fukwe??? Unadhani hizi mbanga zimeanza leo??

Umesahau mbowe alikua gerezani kwa ugaidi?? Umesahau upinzani haukua na nafasi ya kutoa tamko licha ya mikutano ya hadhara.

Umesahau kwamba ndicho kipindi Tz ilikua na mahusiano mabovu ya kimataifa ever???

Umesahu muasisi wa kupita bila kupingwa na umafia wa uchaguzi.??

Umesahu uzidi wa bunge la kusifu na baadae kuacha kurushwa live ulianzia wapi??

Kwa kauli yako hii nachelea kusema SHIDA YA TANZANIA SIO DEMOKRASIA KAMA TUNAVYOPAMBANA BALI NI MTU.
 
Nonsense, Magufuli ndiye muasisi wa utekaji, mauaji, kupoteza watu, na udhali wote wa sasa. Atakumbukwa for centuries kwa kukiuka haki za binadamu kwa kiwango cha juu kuwahi kitokea Tanzania
Wewe ni mzee nayekuamini sana humu JF, ukisema JPM ndiyo muasisi wa haya yote hapo ndiyo unapoteza ile kuwa “incumbent”. Kusema Muasisi Hapana: Baada ya JK kuingiza muswada wa uhuru wa habari hapo ndiyo ikawa “precedent” kila kiongozi aliweka yake. Baada ya utekaji wa Ulimboka na Absolom wakati wa JK ikawa precedent; akaja JPM akafanya yake yake naye akampiga Lisu risasi na sisi wananchi tukameza, kaja huyu- kaendeleza pale pale kachapa risasi na kuua 10k.

Hii ni style ya utawala wa CCM, katika kubakiza nchi iwe ya chama kimoja. Mshindi ni yule atakayeua upinzani kabisa ili wao watawale wapendavyo.

Anyewaamini CCM basi kachanganyikiwa CCM ni shetani, ndiyo waasisi wa hii system
 
Kwa Lumpen proletariats ambao unaweza kuwalinganisha na magunia ya viazi ambayo unaweza kuyageuza unavyotaka. Majority who are not class conscious...yakipata ugali na maharage for lunch na dinner dunia Yao imeisha!
Kwa wewe ambae sio Lumpen

Wewe ambae umesoma na una akili nilitarajia utambue athari ya kifo chake kwa mapana. Lakini huna akili zaidi ya kumiliki smartphone na makamasi
 
Genius Masud Kipanya katika moja ya clip zake amesema wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta nchi nchi imefungwa goli 20 kwa 1 akajitahidi kurekebisha scoreboard isomeke 20 kwa 20 hatimaye tukashinda mechi Masudi akili kubwa sio kama vilamba mavi wa kahaba chura kiziwi..
 
Kwa maneno ya Jenerali Ulimwengu tumekuwa na awamu moja ndefu iliyoanzia 1964.

Mwalimu na Mwinyi walikuwa peke yao. Kisingizio ni mfumo wa chama kimoja.

Mkapa, Kikwete na Magufuli wote walikuwa peke yao kipindi cha pili.

Tuna tabia ya undumilakuwili inayotufanya kuwa na mitazamo inayotegemea aliyefanya jambo ni na nani.
 
Nenda kwa wananchi wa chini ambao ni 80% ya population ya Tanzania uwaeleze haya unayosema alafu uone kama hawakupigi mawe.
Huwa wanalazimisha huo msemo wakati mtaani kwa wananchi 99% hakuna mwenye huo msamiati 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa wewe ambae sio Lumpen
Wewe ambae umesoma na una akili nilitarajia utambue athari ya kifo chake kwa mapana. Lakini huna akili zaidi ya kumiliki smartphone na makamasi
Nilikuwa nategemea response kama hii, anyways, Kama mama yako lumpen anavumiliki pua na makamasi ya b mafufuli jiwe
 
Nilijua lazima upotee. Maana huna akili. Hujajikita kwenye hoja zaidi ya kutumia makalio kumlaumu hayati.
 
Kifo hakikwepeki, JPM asingekufa March 2021 angeweza kufa 2026, ukweli kwamba angekufa haukwepeki.

Unapoishi ukiwa na kinyongo kwamba kiongozi uliyempenda aliaga dunia unajitafutia dhambi kwa Mungu anayeujua ukweli wa kifo chake. Inakuwa sababu ya kuuweka moyoni mwako ushetani unaokudanganya kuwa kipenzi chako alichukuliwa kwa Mapenzi ya binadamu kumbe kazi yake Muumba.

Ukiwa umekaa kwenye hali ya ukimya katikati ya maombi mmulize Mungu atakupa jibu sahihi kuhusiana na kifo cha JPM.

Itakupunguzia kuwabebesha wengine dhambi za hisia potofu kwamba walimuua Magufuli.
 
Upo nje ya mada
 
Upo nje ya mada
JPM keshakuwa historia hawezi tena kurudi katika dunia ya walio hai. Sawa na Sokoine sawa na Nyerere, Fidel Castro na wengi wengine waliokwisha kugeuka sehemu muhimu ya zamani.

Kila nafsi itaonja mauti tunatofautiana siku na saa lakini huu wajibu wa wote.
 
limteka dada yako? alipambana na wahuni tu kuna watu walituiwa kutukwamisha nao walionja kifinyio
 
Back
Top Bottom