BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,511
- 14,133
Viaduct Barabara ya juu haizidi km 8! Wacha upumbavu na hujui ukweli! Ati km 26 barabara ya juu!
Wacha wivu mzeeViaduct Barabara ya juu haizidi km 8! Wacha upumbavu na hujui ukweli! Ati km 26 barabara ya juu!
Umeiona Nairobi expressway lakini? Kwanini watu wengine mnapenda kubisha bila hata kuchunguzaViaduct Barabara ya juu haizidi km 8! Wacha upumbavu na hujui ukweli! Ati km 26 barabara ya juu!
Hujawahi kufika nairobi itakuaTanzania tuna ushamba mwingi kwakweli.
Kibaya zaidi hatuna ustaarabu pia, yaani hiyo barabara ya juu ingejengwa dar chini ya hizo nguzo zinazoshikilia barabara lazima ungekuta kumechafuliwa na machinga, mama ntilie,wauza mihogo, nk.
Yaani sisi Bado sana kiukweli Kenya wametuzidi kwa Mengi. Last month nilisikia Google wamefungua ofisi zao za Africa Hapo Kenya, Microsoft nao Wana ofisi zao kubwa Nairobi.
Wakenya Wana exposure sana, Tofauti na Sisi. Kitu kidogo cha kawaida ambacho ni matokeo ya usimamizi mzuri wa Kodi zetu kitasifiwa Hadi malaika washangae.
Nadhani Tatizo letu Bado ni elimu na kukosa exposure.
Acha ubishi kaka...jamaa wanatisha wako mbali sanaViaduct Barabara ya juu haizidi km 8! Wacha upumbavu na hujui ukweli! Ati km 26 barabara ya juu!
Another 6,600 km of rural roads is currently under construction. The rironi mau-summit expressway scheduled to start late in the year(after the concessionaire got funding from various partners), will be the longest expressway in sub saharan africa at 181 km and it will include a 5 km elevated highway in nakuru.
In total Kenya will have a 700+km long dual carriage way starting from Mombasa to Mau-summit Nakuru.Another 6,600 km of rural roads is currently under construction. The rironi mau-summit expressway scheduled to start late in the year(after the concessionaire got funding from various partners), will be the longest expressway in sub saharan africa at 181 km and it will include a 5 km elevated highway in nakuru.
Then it will be overtaken by Nairobi-Mombasa expressway(525 km), now taken by the koreans after bechtel failed to come to an agreement with GOK, but koreans have already come up with a design and financing model that they want to present to GOK on this big PPP project.
680km of dual carriageway si mchezoIn total Kenya will have a 700+km long dual carriage way starting from Mombasa to Mau-summit Nakuru.
Hii battle ya barabara tumeachiwa South Africa tuView attachment 2279508
Ina faida gani kiuchumi?Mama angeshusha daraja toka Ubungo hadi fire,jangwani inapita juu kwa juu,na magomeni anaitawanya.
Dar pangekaa sawa!