kama huwa unacheka we cheka tu...

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Ticha katoa assignment madogo wachore
mchoro wowote mzuri kwenye karatasi nyeupe.
Baada ya dakika 6 dogo mmoja akasimama
kumpelekea ticha karatasi kwamba kamaliza.
ticha kucheki akaona karatasi nyeupe dogo
hajachora kitu. Akamswalika: Umechora nini?
Dogo: Sir nimechora ngo'ombe anakula majani.
Ticha: Sasa mbona hakuna majani hapa?
Dogo: Ng'ombe amekula yote sir!
Ticha: Na ng'ombe mwenyewe yuko wapi, mbona
hakuna?
Dogo: Majani yalivyoisha na ng'ombe naye
akaondoka sir, ndo maana hamna kitu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…