PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,710 Reaction score 26,010 Aug 29, 2023 #1 Tafsiri unavyoweza, kama hutaki unaacha: NB: Yoon Suk Yeol ni rais wa 13 wa South Korea.
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,674 Reaction score 14,096 Aug 29, 2023 #2 Kwamba Kishida naye ana mbwa wake wakujioshea haaaaaah🤡
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,914 Aug 29, 2023 #3 Yaani korea kusini imekonda baada ya raisi mtajwa.
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,710 Reaction score 26,010 Aug 29, 2023 Thread starter #4 taamu said: Yaani korea kusini imekonda baada ya raisi mtajwa. Click to expand... Umbo la mbwa mwenye baka jekundu halijabadilika ila amepewa jukumu, ila yule mbwa mwenye nyekundu na blue amenywea na kuwekwa chini ya mwenzake
taamu said: Yaani korea kusini imekonda baada ya raisi mtajwa. Click to expand... Umbo la mbwa mwenye baka jekundu halijabadilika ila amepewa jukumu, ila yule mbwa mwenye nyekundu na blue amenywea na kuwekwa chini ya mwenzake
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,914 Aug 29, 2023 #5 PakiJinja said: Umbo la mbwa mwenye baka jekundu halijabadilika, ila yule mbwa mwenye nyekundu na blue amenywea Click to expand... Huyo aliyenywea si msouth korea.
PakiJinja said: Umbo la mbwa mwenye baka jekundu halijabadilika, ila yule mbwa mwenye nyekundu na blue amenywea Click to expand... Huyo aliyenywea si msouth korea.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,914 Aug 29, 2023 #6 Ki under skert naye ana mfugo japo anafugwa.
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,710 Reaction score 26,010 Aug 29, 2023 Thread starter #7 taamu said: Huyo aliyenywea si msouth korea. Click to expand... Wote ni mbwa wa mtu mmoja, ila huyo mmoja kapewa jukumu la kumchunga mwenzake. Yes
taamu said: Huyo aliyenywea si msouth korea. Click to expand... Wote ni mbwa wa mtu mmoja, ila huyo mmoja kapewa jukumu la kumchunga mwenzake. Yes
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,120 Reaction score 21,812 Aug 29, 2023 #8 Huyo mbwa mwenye red spot ni Mapank au Takinawa?