Kama hupendi kuzeeka/ Kufa mapema ingia kwenye siasa

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Japo sijafanya utafiti wa kina, ila inaonekana kuna uhusiano chanya (positive strong correlation) kati ya kuishi maisha marefu, buheri wa afya na uana siasa.
Embu tuangalie baadhi ya mifano: Angalia viongozi kama Mandela, Bush wa Kwanza (senior), n.k Embu angalia 'Mtukufu' rais mstaafu Mwinyi, Kingunge, Mkapa, Mseveni, Mugabe, Meghji (nimemuona kwenye tv bado ni mama 'mbichi' kabisa n.k
Utangundua kuwa viongozi wengi walioshika nyadhifa za kisiasa wamebahatika kuishi maisha marefu embu tu tukilinganisha na waalimu ambao wengi hufariki miaka michache baada ya kustaafu...
Kwa kuliona hilo nimeamua kuja hapa kuwashauri wale wanaotamani kuishi maisha marefu (beyond 70yrs) kujaribu their career in politics. Hili litawasaidia sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom