Ni hormones tu particularly Estrogen. Estrogen levels zikiwa low you may feel sad, anxious or frustrated hata bila sababu.
Mke usiye na kelele na bado unasema wanawake ninyi ni wapiga kelele,unatudanganyaaa![emoji1787]
Tunawapenda hivyo na kelele zenu na tunawaoa.
Kwasababu hatujawazoea mkae kimyaMkituoa hatutaki suala la kelele liwe issue. Gugumieni ndani kwa ndani.
Halafu wanaume bwana; ukijaribu kuwa kimya kila saa unaulizwa kama uko sawa.
Lakini ndiyo ukweli...Maisha ya sasa utakuta mtu asiye na viatu ana mshauri mwenye viatu😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]chumba Chenu sio chako.Mimi nimesha plan nyumba yangu lazima iwe na chumba changu binafsi kisicho husiana na yoyote ili kukwepa kelele
Kuna kale ka msemo .... kipofu hawezi mwongoza kipofu mwenzie....Lakini ndiyo ukweli...
Sawa,ila nakazia tena....huo ulioongelewa ndiyo ukweli mkuuKuna kale ka msemo .... kipofu hawezi mwongoza kipofu mwenzie....
Siri imevuja...Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wewe huna kelele bhasi kuna makumi na mamia kama wewe wapo mitaani na nyinyi ndio tunaowataka.Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha hauwezi kurudia tena huyo maana keshajua utaondoka moja kwa moja nawe ndio nguzo😄😄Kuna siku niliwah fika yakaanza makelele,nilibeba koti langu nikageuza
Siku nyingine hakukuwa na kelele