Kama hukuiona hii hapa

mfilisti achaga basi kuniharibia madili yangu sasa picha yangu kuitoa maana yake ni nini? mbona kunizibia riziki lakini .... weekend nilijua napata hata hela ya safari lager naona unazengua

ha ha ha nilikumbuka mwaka jana tulivyoenda krismasi hii picha uliipiga ulipokua unatoka kwa mama shirima kunywa mbege
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha nilikumbuka mwaka jana tulivyoenda krismasi hii picha uliipiga ulipokua unatoka kwa mama shirima kunywa mbege
acha tu ile mbege alitia msesewe kudadeki hapa ninakiu nasubiria mda ufike tu.. japo na wasi wasi na magu anaweza tuambia tusiende nauli zitumike kujengea barabara yeleuwiiiiii
 
acha tu ile mbege alitia msesewe kudadeki hapa ninakiu nasubiria mda ufike tu.. japo na wasi wasi na magu anaweza tuambia tusiende nauli zitumike kujengea barabara yeleuwiiiiii

kibo!! Yesu Maria
 
Hako katoto kakilala na njaa katakuwa kamejitakia....:yawn:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…