Kama haya ya walinzi wa Makonda kwa Nape ni kweli basi ni aibu kwa Rais wetu

Ndio maana akili zenu zimedumaa!

Cuf inakufa, ninyi kila siku mnachungulia kwa mange kaposti nini,

Sasa hivi mnategemea mada kutoka kwa mange, sasa kwa akili hizi hamuwezi kufika popote.
Naona ulificha viroba maana unavyoongea ni akili za kunywa viroba
 
Mkuu anajua lakini anakufa na tai shingoni. Kuna jambo kubwa sana juu ya hawa wawili hawa ni siri nzito. Huyu bodyguard huyuuuuu!
Lakini mkuu hukumbuki hapa juzi tuu alisema akiongea ukweli watanzania watalia???
 
Ulinzi wake ndio uingilie uhuru wa viongozi wengine mpaka kuwatolea bastola? Nape bado ni kiongozi maana ni mbunge na mpaka wakati ule ofisi ya Uwaziri alikuwa hajakabidhi bado.
Na h ili la Mwigulu kudanganya kuwa ameshikiliwa likoje?
Serikali ina toa taarifa za uong o?
Tusimlaumu mwigulu huenda na yeye kapelekewa ripot akaitoa kama alivyoletewa huenda hakufanya uchunguzi
 
Nimekuta mjadala mahali kuwa walinzi wanaofahamika wa Makonda, ambao anaenda nao kila mahala hata kwenye michepuko ndio walio mvamia Nape pale Protea Hotel na ni walinzi aliopewa na mamlaka ya juu.

Kama ni kweli, na kama Mwigulu kadanganya umma kuwa mtuhumiwa kakamatwa wakati sio kweli basi hii ni fedheha kubwa sana kwa serikali na hata huyo anaye mlinda na kashfa zote yaani mkulu.

Haya ndio yale yameimbwa kuwa ni MADARAKA YA KULEVYA. Mzee aendelee tuu kunkingia kifua huyu dogo, lakini ndiye anayemchafua bila yeye kujua.
Magu si kwamba hajui laa anajua na ameamua kufanya anayoyafanya kumlinda Bashite kwa maslah yao wawili. Kwa sasa lazma tukubali hakuna wizara auwaziri, idara au taasisi inayoweza kufanya chochote dhidi ya Makonda except BUNGE NA MAHAKAMA. na mihimili hiyo ijitoe muhanga ijivishe mabomu ndo tutafanikiwa. Au wananchi wajitokeze barabaran kitu amabacho kwa wtz ni ngumu sana.
 
KIONGOZI YEYOTE MWENYE DHAMIRA YA DHATI YA KUWATETEA WANANCHI HAWEZI KUJIUNGA NA CCM.
UKIMUONA MTU YUPO CCM NA ANAJIFANYA KUPAMBANA NA HAKI YA WANYONGE, NI MNAFIKI NA MUHUNI WA KARNE HII.

TUJIHADHARI SANA NA KUWASHANGILIA WATU WALIO CCM WANAOJIFANYA WANAPINGA KINACHOFANYWA NA CCM.
 
Fanyeni utafiti wa kina kuna kimejificha nyuma ya pazia, kuna kazi inafanyika kwa kumtumia mtu ambae baadae atakua discarded kama used condom(kwa mtazamo wa Balali) time will tell
.....
.....eeeehhh
 
Nimekuta mjadala mahali kuwa walinzi wanaofahamika wa Makonda, ambao anaenda nao kila mahala hata kwenye michepuko ndio walio mvamia Nape pale Protea Hotel na ni walinzi aliopewa na mamlaka ya juu.

Kama ni kweli, na kama Mwigulu kadanganya umma kuwa mtuhumiwa kakamatwa wakati sio kweli basi hii ni fedheha kubwa sana kwa serikali na hata huyo anaye mlinda na kashfa zote yaani mkulu.

Haya ndio yale yameimbwa kuwa ni MADARAKA YA KULEVYA. Mzee aendelee tuu kunkingia kifua huyu dogo, lakini ndiye anayemchafua bila yeye kujua.
1490776504883.png
 
Dume zima kweli na akili zako timam unamsikiliza yule dada
Tumia akili zako mwangalie yule jamaa na huyo mnaemsema kama wanafanana
 
ushAHIDI unaonekana ni kweli kabisa kuna mapicha mengi tu,mbaya zaidi Mwigulu Nchemba katudanganya eti jamaa yuko ndani kumbe kapewa kilikizo na bashite yupo Arusha anakula bata,baada ya issue kufumuka kadelete account zake za insta na facebook...shame shame shame shameeeee
Kama huyo Danny Masimbusi ninaona baada ya issue kubuma kadelete account zake zote IG n Fbuk na kamlazimisha mpaka na mkewe pia afanye hivyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dume zima kweli na akili zako timam unamsikiliza yule dada
Tumia akili zako mwangalie yule jamaa na huyo mnaemsema kama wanafanana
Yule mama ni mwehu aliechukua jukumu lakuwaongoza wehu....maana kila anachoongea hata kama ni cha uongo wehu wenzake watakusapoti tu.

Kawaingiza chaka kuhusu kinana nao kichwakichwa wakaingia then alipoona wamemstukia akajifanya anawalaumu machizi wenzake wanaomtumia udaku.

Sasa kawaingiza tena chaka kuhusu hili askari.!!
 
Back
Top Bottom