Kama haupo sawa katafute msaada

Mkuu unaweza kujua kabisa una tatizo shida ni kujitibia, ni ngumu sana

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Kujitibu inawezekana ila utahitaji jitihada za ziada. Kupambana na issue za kisaikolojia unatakiwa umakini wa hali ya juu.

Nakaa hata na ma' psychologist kuna maswala ya current huwa najadili nao ila nagundua wengi wapo shallow.

Mfano wengi ukiwauliza kwann watoto wa kiume wa sasa ni marioo, wanatraits za kike, kwann watoto wa kike hawawezi ndoa, au kwann Ndoa zinawashinda utashangaa kuona hawawezi kukupa valid details kuhusu hiyo trend watazunguka zunguka.
 
Namfokea mke wangu mpk nikikaa mwenyewe najiskia vibaya, why nakua hivi u can't help it

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Nishasamehewa hili kosa mara nyingi mpaka nimebreak up bt ni ngumu Mimi kuihandle hii situation siwez kabisa though mtu anakuona ukimfokea as if humpend ila unampenda kuliko maelezo[emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…