kama hauna chupa kama hii

Hata kuandika ni matatizo.


swissme:
 
???????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Masai dada watu sku hiz taa za mchina na hii mitoto ya kidigitali uweke mshumaa utakuta nyumba wameitis moto
 
English please!!!!

pacha watu wana tabia ya kuweka mishumaa au kuchomeka kwenye midomo ya vyupa vya soda then inawashwa kwa ajili ya mwanga chumbani,wengine wanaweka mishumaa juu ya mbao au meza,hapo kama sikosei kila wanavyoendelea hawaondoi miyeyuko ya mishumaa kila siku inaongezeka tu,ndo matokeo kama kwenye hiyo picha hapo juu imejaa miyeyuko ya mishumaa mpaka haionekani
 

Nimekusoma pacha, jana uliangalia mpira wapi??
 
LOL! basi mkiotea hamsahau!
mi naangaliaga kwangu kwenye internet non stop.
Jana mlipiga mpira fresh.

Teh teh teh nilitaka nikutambulishe rasmi kua Honey Faith amejiunga the gunners......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…