Mkuu bado hatujasahau mafungu ya bukoba yalivyopokelewa hadharani na kupotelea kusikojulikana aisee
Alipokuwa anabomoa nyumba tulisema hivyo hivyo tukaenda mahakamani tukashinda.Amiri Jeshi Mkuu kazi yake ni kuamrisha vita tu? Sio kuokoa wananchi wake na maafa?
Kweli Rais wa wanyonge hajawatendea haki watu wa Dar....Kuna chuki kubwa sana kati yake na watu wa Dar
Jamani, Video zinaonekana watu wanaelea, Jeshi na Polisi wana Helicopter....
Serikali ijenge maeneo ya dharura ubungo au Kibaha, weka mahema na peleka misaada
Jamani..Rais huyu ana roho ya Jiwe au ubinadamu?
Sasa Maendeleo anayojitapa anamletea nani? kama watu wanakufa?
Mimi nilikuwa naishi Hosuton, TX na huko tulikuwa na mafuriko na vimbunga sana. Lakini kilicho saidia kulikuwa na kitengo cha nchi kinacho shughulikia maafa na kilikuwa na budget yake na mkurugenzi wake. Kama hakipo ningependa kupendekeza kiwepo maana hali ya hewa duniani imebadilika na haya mafuriko yatazidi kuongezeka kila mwaka.
Acha kuongea matapshi. Watu walibomolewa mabonden, serkal ikajenga ofice za UDART.Alipokuwa anabomoa nyumba tulisema hivyo hivyo tukaenda mahakamani tukashinda.
Sasa mafuliko yakekuja bado tunasema hivyo hivyo..
Solution ni moja tu..watu wa mabondeni wakubali kubomolewa nyumba wahame au wakubali consequences za kukaa mabondeni...
Tofauti na hapo tutatafuta mchawi ni nani kumbe wachawi ni sisi tunaokaa mabondeni
Kwahio ofisi za udart ndio zinalalamika??Acha kuongea matapshi. Watu walibomolewa mabonden, serkal ikajenga ofice za UDART.
Alipokuwa anabomoa nyumba tulisema hivyo hivyo tukaenda mahakamani tukashinda.
Sasa mafuliko yakekuja bado tunasema hivyo hivyo..
Solution ni moja tu..watu wa mabondeni wakubali kubomolewa nyumba wahame au wakubali consequences za kukaa mabondeni...
Tofauti na hapo tutatafuta mchawi ni nani kumbe wachawi ni sisi tunaokaa mabondeni