Kama hakimu watu hawana imani na ww kwann ung 'ang 'nie wakati watu hawakutaki, watakata rufaa mahakama kuu

Hakimu anaonekana kabisa kuna kitu anaka kukifanya juu ya sugu Na mwenzake! Huyu niwakufatilia kwa karibu kwa namna Na njia yoyote hile, labda akimbilie Rwanda akishatoa hiyo hukum
 
Ukweli kwenye kesi hii kuna mashaka mengi,,, lakini kauli ya kumtisha hakimu uliyotumia siyo njema sana .
 
Hakimu anaumia rohoni ila ɓasi afanƴeje ndo maana anasema anapata wakati mgumu
 
Sugu hana sababu ya maana anachotaka ni kuchelewesha hukumu anajua hachomoki na hii kesi hata yule mganga wake wa Tunduma hawezi kumsaidia
 
Yeye ni mbunge je kisheria hadhaminiwi? Uache uchama! Hakimu hataki dhamana yaani anapata dhambi ndio maana wakistaafu wanakufa haraka kwa madhambi
 
Sugu hana sababu ya maana anachotaka ni kuchelewesha hukumu anajua hachomoki na hii kesi hata yule mganga wake wa Tunduma hawezi kumsaidia
Tumemkataa hakimu wenu yule mliyepanga naye njama na tutamkataa hadi ajitoe mwenyewe na akibisha tunatinga mahakama kuu kumkataa kabisa.

Ni heri kuchelewa kuliko kuwahi ujinga , na hakimu akileta ujinga tutahakikisha anafukuzwa kazi .
 
hakimu anayo haki ya kukataa kujitoa
 
hakimu anayo haki ya kukataa kujitoa
Huyu tutamlazimisha ang'oke kwa nguvu ya kisheria , hakuna hakimu yeyote aliyegeuka mlalamikaji kwa kula njama na walalamika , huyu mshamba Mteite ndiye aliyeshiriki kuedit zile tape akishirikiana na polisi hata kabla kesi haijaanza , asipoangalia tutamfunga kifungo kibaya sana
 
Back
Top Bottom