Kama Dr Slaa alipotelekezwa na Chadema na kushindia mihogo CCM ilimsaidia na kumlipia hadi mkopo Lisu naye maadam ameomba atasaidiwa!

Taifa kubwa,watu wadogo,vijana wanajadili Dr.Slaa kula mihogo na Lissu kuomba msaada, mfumo wa elimu yetu ni dhaifu mno na unazalisha watu dhaifu mno kifkra.
We are doomed.
Kusaidiana ndio jadi yetu watanzania bila kujali kabila, dini wala itikadi za kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 aliyekuwa katibu mkuu wa chadema Dr Slaa alilia njaa akidai amekuwa akishindia mihogo pale Ufipa. CCM ilipokea kilio chake kwa moyo mkunjufu ma haikuishia kwenye kumbadilishia mlo tu bali hata nyumba yake iliyotaka kuligwa mnada na benki iliokolewa na CCM na kurejeshwa kwa Dr wa Ukweli.

Hivyo maadam Tundu Lisu naye amesikika huko ughaibuni akiomba kusaidiwa hii maana yake ni kuwa chama chake kimeishiwa pumzi, hivyo kwa sababu za kibinadamu sitashangaa kusikia CCM wamemsaidia.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slaa alifika bei, usimchanganye na jabali Lissu aliyepigwa risasi na mabazazi ili asifanye kazi zake za kumuingizia kipato zaidi ya kuishia kujiuguza hospitalini. Lissu anahitaji msaada kwa wasamaria wema kwani amepotezewa uwezo wake wa kufanya kazi kwa siasa za chuki za kundi fulani lenye kiburi cha madaraka.
Wasiomju Lissu, kama wewe tindo, sishangai kiini cha bandiko lako.

Lissu hana sifa ya kusaidiwa wala ya kupewa uongozi wa aina yoyote. Hajiheshimu katu kwa kauli na matendo yake kiasi kwamba katika maisha yake yote amekuwa akidharau mamlaka.

Kwa kifupi ni mtu zaidi ya KICHAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom