Kama Dr Slaa alipotelekezwa na Chadema na kushindia mihogo CCM ilimsaidia na kumlipia hadi mkopo Lisu naye maadam ameomba atasaidiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,324
2,000
Kusaidiana ndio jadi yetu watanzania bila kujali kabila, dini wala itikadi za kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 aliyekuwa katibu mkuu wa chadema Dr Slaa alilia njaa akidai amekuwa akishindia mihogo pale Ufipa. CCM ilipokea kilio chake kwa moyo mkunjufu ma haikuishia kwenye kumbadilishia mlo tu bali hata nyumba yake iliyotaka kuligwa mnada na benki iliokolewa na CCM na kurejeshwa kwa Dr wa Ukweli.

Hivyo maadam Tundu Lisu naye amesikika huko ughaibuni akiomba kusaidiwa hii maana yake ni kuwa chama chake kimeishiwa pumzi, hivyo kwa sababu za kibinadamu sitashangaa kusikia CCM wamemsaidia.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,795
2,000
Slaa alifika bei, usimchanganye na jabali Lissu aliyepigwa risasi na mabazazi ili asifanye kazi zake za kumuingizia kipato zaidi ya kuishia kujiuguza hospitalini. Lissu anahitaji msaada kwa wasamaria wema kwani amepotezewa uwezo wake wa kufanya kazi kwa siasa za chuki za kundi fulani lenye kiburi cha madaraka.
 
Hatu CCM ni wasamaria wema!
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,317
2,000
Unaongelea scenario mbili tofauti. Hakuna msaada wa bure.
There is always an interest.
Ndio kilicho tokea kwa slaa... yes mlisaidia(inawaza kuwa uwongo au kweli)..
The akawalipa kwa kukubal kwenda ccm

Mnataka mtumie the same technique.. hahaha.

Ila nawakubali kitengo cha fitna cha ccm. Mko vzuri.. but not smart enough
Kusaidiana ndio jadi yetu watanzania bila kujali kabila, dini wala itikadi za kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 aliyekuwa katibu mkuu wa chadema Dr Slaa alilia njaa akidai amekuwa akishindia mihogo pale Ufipa. CCM ilipokea kilio chake kwa moyo mkunjufu ma haikuishia kwenye kumbadilishia mlo tu bali hata nyumba yake iliyotaka kuligwa mnada na benki iliokolewa na CCM na kurejeshwa kwa Dr wa Ukweli.

Hivyo maadam Tundu Lisu naye amesikika huko ughaibuni akiomba kusaidiwa hii maana yake ni kuwa chama chake kimeishiwa pumzi, hivyo kwa sababu za kibinadamu sitashangaa kusikia CCM wamemsaidia.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
49,071

Hichi ulichoandika hapa hakina tofauti na Dr Bashiru anavvyofananisha ajali ya gari ya Sokoine na risasi 16 za Lissu.

Like father like daughter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,795
2,000
Hatu CCM ni wasamaria wema!
Sio ccm ya jiwe. Hata kwenda kumtembelea mbunge mwenzao tu hospitali wamenyimwa huo usamaria wautoe wapi? Ccm sio wasamaria bali walinda madaraka. Wasamaria walioko ccm wamemezwa na madhalimu, hivyo watu wema walioko ccm ndio wakubeba lawama kwa kuwaachia madhalimu kuwa na maamuzi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom