Kama chuki kweli Clouds fm mnatisha kwa Lady J dee

Aug 23, 2013
71
10
Daaaa pamoja na kwamba kiasi flani mnawainua wasanii wa Hapa nyumbani ila hampo sawa kwa msanii Lady j dee! kama haujanielewa sikiliza clouds fm wiki ijayo kwenye wimbo wa BEN POL. Jikubali pale anapolitaja jina la j dee. wameminya ile mbaya. Najiuliza kumshirikisha jide tu kunaweza pelekea usipate sapoti ya media hii ambayo inajiita Radio ya watu! Watz bwana! yaani mtu kueleza ukweli jinsi anavyoibiwa kosa. Hata kama hammpendi j dee basi wimbo ni wa ben paul basiii hakuna haja ya kulibana jina la jdee. Radio gani ya watu yenye ubaguzi? Walipeni cha kwao ila msiwaibie kwa kigezo cha kuwanyima airtime kwenye kiredio chenu. ikumbukwe kwenye vikwazo ndo fursa hizo. siungi mkono huo utaratibu wenu. wewe Kusaga na nani na nani........ mjipangeeeeeeeeeeeeeeee.
 
hawa mashoga wanakera sana leo asubuhi mm nilikuwa kwenye daladala ile asubuhi wakati wanachambua magazeti wakaanza kumponda na kumlushia maneno cheka kisa tu kasema kuwa alijua anaalikwa bungeni alikuwa anategemea kuna kitu chochote anaweza kukipata kutoka bungeni kwani kwa suala la ubingwa yeye alianza kuwa bingwa tokea mwaka 2007 lakini sasa hivi ndio kaitwa bungeni akawa anafikiria labda wabunge wametambua mchango wake kwa jamii so kuna kitu au sapoti fulani wanataka kumpa lakini cha kushangaza hakuna lolote alilopata zaidi ya kushangaa tu ukumbi wa bunge. sasa wao wakaanza kumlaumu na kumtupia madongo wee na makashfa kibao kisa alitegemea kupata sapoti kutoka kwa serikali
 
Kaenda kuosha...............:cheer2:
 
dah nildhani nimeuskia vibaya jana kwny Top 20, ni kweli wameuminya...wana roho mbaya sana
 
hawa mashoga wanakera sana leo asubuhi mm nilikuwa kwenye daladala ile asubuhi wakati wanachambua magazeti wakaanza kumponda na kumlushia maneno cheka kisa tu kasema kuwa alijua anaalikwa bungeni alikuwa anategemea kuna kitu chochote anaweza kukipata kutoka bungeni kwani kwa suala la ubingwa yeye alianza kuwa bingwa tokea mwaka 2007 lakini sasa hivi ndio kaitwa bungeni akawa anafikiria labda wabunge wametambua mchango wake kwa jamii so kuna kitu au sapoti fulani wanataka kumpa lakini cha kushangaza hakuna lolote alilopata zaidi ya kushangaa tu ukumbi wa bunge. sasa wao wakaanza kumlaumu na kumtupia madongo wee na makashfa kibao kisa alitegemea kupata sapoti kutoka kwa serikali

Jeuri ya sembe hiyo siku 40 zao zimekaribia zitaisha watawaheshimu wanamuziki.
 
Hawa jamaa ni wanafiki sana na hii redio ukiisikiliza kwa makini utag1undua hakuna cha maana wanachoongea zaidi ya udaku wa mtaani, watangazaji wao wengi ni vilaza ila wanajidai kujua sana kimbe mbulula. Pia ni wanafiki ile mbaya ukiwasikiliza wengi utasikia wanajikomba kwa wanasiasa ni wanafiki na hiyo redio nimeacha kusikiliza imepita miaka miwili na kwa mwenye kutafakari kwa kina hebu sikiliza halafu jiulize kama wanauwezo kuwa watangazaji kwa wanaopenda ushambenga hii redio inawafaa kwa serious persons ni upuuzi mtupu
 
Luge ni financial expert na pia ni mbunifu ila anaharibu both career na media yake kwa kushindwa kuficha chuki na hasira zake kazini.
Hakutakiwa kurespond vibaya hivyo kwa kila msaani ambae anaingia kwenye ugomvi nae.
 
Wao sio Mungu mgawarziki wapige wacpige Jide kweli comando
 
Wanachofanya sio vizuri. Wasichanganye mambo binafsi kwenye biashara. Huu kwangu ni unafiki wanatembea Tanzania nzima eti wanatoa semina kwa vijana kuhusu fursa alafu wanapojituma wao ndio wanawafanyia fitna. Ila hii dhana ya wasanii chipukizi kuamini bila Clouds hawawezi kutoka kimziki imepitwa na wakati kuna redio kibao Tanzania kwa hiyo wanachohitaji kufanya ni kutumia redio zingine kama unakipaji utatoka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom