Kama CCM inapendwa, rafu za nini kwa wapinzani?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,705
Hakika CCM inashangaza sana,mikutano ya siasa inafanya yenyewe,wapinzani wao na Polisi,Magereza na Mahakama hata muda wa kukutana na wanachama wao hawana.

Najiuliza kama kweli CCM inapendwa na wananchi kwanini watendaji wanafanyia rafu wagombea wa upinzani?

Kama kuchukua Fomu tu ni matatizo vipi kupiga kura,Kuhesabu na kumtangaza mshindi?
 
Kiukweli ccm inaonekana hali mbaya, inasadikika katika baadhi ya maeneo vimefanyika vikao vya siri kati ya wasimamizi Wa uchaguzi Na wagombea Wa ccm, pia baadhi ya maeneo wamehusishwa wakuu Wa wilaya Na makatibu tarafa.baadhi ya mbinu walizokubaliana Ni kuwahujumu wagombea Wa upinzani ikiwemo Na kuwateka wagombea Wa upinzani, kupewa fomu pungufu, Na wengine kufungiwa ofisi ili ccm ipite bila kupingwa maeneo mengi.swali muhimu kama ccm inapendwa hujuma hizi za nini? Waachiwe umma waamue kupitia sanduku LA kura.
 
Mkuu mbinu zilizopangwa Ni nzito asikwambie MTU.wako wakuu Wa wilaya wanashirikiana Na Maocd wasio waadilifu kukamata wagombea Wa upinzani ili wasipate muda Wa kuchukua fomu au kufanya kampeni.miongoni mwa wakuu Wa wilaya hao Ni Mkuu Wa wilaya ya hai yule mmasai aitwaye sabaya Na pia Mkuu Wa wilaya ya Arumeru jelly muro.Nawapa tahadhali wagombea Wa upinzani wawe makini katika kipindi hiki chote cha kuelekea uchaguzi Wa serikali za mitaa..vinginevyo watatekwa au kupigwa.Ilipofikia ccm Ni kama makaburu.
 
RCs, DCs, TARAFAs NA WEOs msisahau maagizo yangu.
 
Attachments

  • 2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    19.9 KB · Views: 1
Kiukweli ccm inaonekana hali mbaya, inasadikika katika baadhi ya maeneo vimefanyika vikao vya siri kati ya wasimamizi Wa uchaguzi Na wagombea Wa ccm, pia baadhi ya maeneo wamehusishwa wakuu Wa wilaya Na makatibu tarafa.baadhi ya mbinu walizokubaliana Ni kuwahujumu wagombea Wa upinzani ikiwemo Na kuwateka wagombea Wa upinzani, kupewa fomu pungufu, Na wengine kufungiwa ofisi ili ccm ipite bila kupingwa maeneo mengi.swali muhimu kama ccm inapendwa hujuma hizi za nini? Waachiwe umma waamue kupitia sanduku LA kura.

Naona CCM inajichimbia kaburi kwa Kasi Sana....
 
Naota ilikuwa hivi........ msinichanganyie.... nataka ushindi wa kishindo....80%+++ ..... ili huu uwe reflections ya 2020..... bado nina kazi kubwa.... zimuoni wa kuzifanya...... na kwanini hawakufanya huko nyuma.... waniache nifanye kazi....multiplier effect yake mtaiona....
 
Hakika CCM inashangaza sana,mikutano ya siasa inafanya yenyewe,wapinzani wao na Polisi,Magereza na Mahakama hata muda wa kukutana na wanachama wao hawana.

Najiuliza kama kweli CCM inapendwa na wananchi kwanini watendaji wanafanyia rafu wagombea wa upinzani?

Kama kuchukua Fomu tu ni matatizo vipi kupiga kura,Kuhesabu na kumtangaza mshindi?
tumewachoka kelele zenu mitandaoni i it's time for actions
 
Back
Top Bottom