Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,836
Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais, ubunge na udiwani, kwa namna ilivyojipanga na kujiandaa.
Kama mdau wa jukwaa hili makini la siasa, ukitathimini kwa makini, ni chama kipi cha siasa miongoni mwa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, kinachoweza kuibuka na kura nyingi zaidi baada ya CCM, ukilinganisha na vyama vingine vya siasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.