nimebadilisha na nikakisafisha na maji ya vuguvugu gfsonwin asikuulize tena
Ndo maana ninakupendaga wewe lol.. Hutafuni maneno.. gfsonwin jibu la kwanza tayari huku..
Honey Faith sogea huku tafadhali.. usaidie na wewe kwenye hili.. sister nasubiria kwako..
Mbona haraka hivyo miss chagga..? Hebu 2ongelee pasaka kwanza..
nakuona sexologist....
Nipo mkuu, sina nyimbo... Naona dalili za kuchokwa na dada yako "mpendwa" miss chagga, anasema nipo lindo... Daaah!!!
pasaka twende tukashangae wanyama wakifanya mapenzi
pasaka twende tukashangae wanyama wakifanya mapenzi
Hapa sina mpenzi.... masai dada atanipa ushauri zaidi wa nini cha kufanya..
kaniambia unalinda leo...Nipo mkuu, sina nyimbo... Naona dalili za kuchokwa na dada yako "mpendwa" miss chagga, anasema nipo lindo... Daaah!!!
Swadaktaaaaa hilo ndilo nililotaka kukuambia miss chagga.. Achana na akina kabanga na sexologist.. Maneno meeengi pasaka wanafikiria kwenda kanisani kuangalia maigizo..
yupo lindo hakai mbali leokaniambia unalinda leo...
CC miss chagga
kuangalia wanyama wakifanya mapenzi ni vibaya ,.. baby basi twebde wote
we endeleatu..Swadaktaaaaa hilo ndilo nililotaka kukuambia miss chagga.. Achana na akina kabanga na sexologist.. Maneno meeengi pasaka wanafikiria kwenda kanisani kuangalia maigizo..
sawa bebi nitapiga ba pichaNyi tangulieni tu muwakute wameanza ila wakiwa wanakaribia kupiga bao naomba mnibipu bebi..
we endeleatu..
wakitoka wakae bar wanileweshe tu,.. bora niangalie wanyama wakifanya mapenzi nikitoka hapo naenda kuoga tunajaribu kunyamiana
we endeleatu..
mimi raisi mwaka 2035Aiseee miss chagga una akili wewe.. Yaani itabidi ugombee uraisi tu kwa kweli..
Kutembelea tu wanyama na kuwaangalia jinsi wanavyofanya mahaba..
mimi raisi mwaka 2035
Mie nitakuwa Waziri mkuu..