Kama Beyonce...

unazo nyingi sana....zikumbuke.....

Mhhh sister.. wanihukumu mbona..! Kila nikijaribu kukumbuka dhambi zangu nashindwa.. Yesu alizifuta zote na sasa niko msafi na huru..:smile-big:

aya miss chagga unaitwa huku mchaga mwenzangu uje useme!!

Ha ha ha gfsonwin.. Nachompendea mie huyu ni kwamba anatuwakilisha vyema kabisa.. Ana elements zote za kichaga..
Nasubiri aje kulijibu hili kwa niaba ya akina dada..

Hata sister naomba ulijibu swali ambalo liko kwenye mtiririko wa mazungumzo hapa..
 
Last edited by a moderator:

kama ulizitubu sawa.....
 
Ck nyingine unaweka na no ya cm ili.watu waombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…