Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,898
- 33,713
Gadafi hakuwa na tatizo lolote ni kiongozi wa kupigiwa mfano Africa. Ushawishi wa nje na vita vimekuja kubomoa alichojenga. Libya sasa yaweza chukua miaka 100 kusimama tena.Ushindi wa Bashar-al assad,kura alizopata zaidi ya asilimia 80% inamanisha western countries ndo wanaopeleka matatizo ktk nchi zngne hata Libya wangefanya uchaguzi bado gaddaf angeshinda angeshinda.
Swali je? Kama bashar alikuwa mbaya kwa nini bdo wampe kura tenda kwa kishindo
Ushindi wa Bashar-al assad,kura alizopata zaidi ya asilimia 80% inamanisha western countries ndo wanaopeleka matatizo ktk nchi zngne hata Libya wangefanya uchaguzi bado gaddaf angeshinda angeshinda.
Nina uhakika walibya wanajuta sana
Wanatamani wangekufa kama kiongozi wao
Wamagharibi na marekani ni watu wabaya sana, yaani walikuwa wanataka ashindwe. Sasa kashinda wanasema eti kunaudanganyifu. Damu ya Gaddafi itaendelelea kuwalilia tu.
Alafu baadhi yetu waafrika tunashangilia eti gadaffi alikuwa mtu mbaya. Kwa kutudhalilisha sasa wanatulazimisha eti tuoane jinsia moja ili watupe msaada. JAMANI WAAFRIKA WENZANGU TUSIKUBALI KUTENGANISHWA KWA KUTUMIA TOFAUTI ZA IMANI ZETU ZA DINI. WAZUNGU WAMESHAGUNDUA KWAMBA WAKIINGIA KWA GIA YA UISLAMU NA UKRISTU TUTACHINJANA. KUWENI MAKINI SANA...........
Gadafi hakuwa na tatizo lolote ni kiongozi wa kupigiwa mfano Africa. Ushawishi wa nje na vita vimekuja kubomoa alichojenga. Libya sasa yaweza chukua miaka 100 kusimama tena.
Wamagharibi na marekani ni watu wabaya sana, yaani walikuwa wanataka ashindwe. Sasa kashinda wanasema eti kunaudanganyifu. Damu ya Gaddafi itaendelelea kuwalilia tu.
Alafu baadhi yetu waafrika tunashangilia eti gadaffi alikuwa mtu mbaya. Kwa kutudhalilisha sasa wanatulazimisha eti tuoane jinsia moja ili watupe msaada. JAMANI WAAFRIKA WENZANGU TUSIKUBALI KUTENGANISHWA KWA KUTUMIA TOFAUTI ZA IMANI ZETU ZA DINI. WAZUNGU WAMESHAGUNDUA KWAMBA WAKIINGIA KWA GIA YA UISLAMU NA UKRISTU TUTACHINJANA. KUWENI MAKINI SANA...........
kweli kabisa mkuu,damu ya jamaa itakuwa raana kwao
Damu ya gaddafi itaendelea kuwalilia?!! We unafikiri hawa jamaa wameua gaddafi tu? Au wameanza jana kuua? Hawa watu wameanza kuua zamani sana lakin bado wachana nyavu tu, acha kujilegeza kinyonge ili uonewe huruma we pambana nao physically, mbona russia anajaribu?!!