Kama awamu hii hakuna ufisadi,Bunge liuende kamati teule kuchunguza yafuatayo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
1.Utaratibu mzima wa ununuzi wa ndege zote 6.

2.Mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato.

3.Utoaji wa tender/zabuni ya utengenezaji wa pass za kusafiria za kielektroniki.

4.Pia Tume Huru ya Kijaji iundwe kuchunguza tuhuma za wanasiasa kununuliwa.

Tunapoita wengine mafisadi, tungependa uchunguzi juu ya mambo haya pia.

Haya yote ipo siku ukweli wake utajulikana tu na hapa sijaongelea ununuzi wa kivuko kibovu.
 
Hapa kuna washenzi wamepiga hela nyingi balaa

Subiri uongozi huu upite ndio utakuja kusikia madudu ya hii miradi
 
Hilo la mradi wa kununua wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani kuna ufisadi kabambe kabisa. Yule harakahara umasikini wote umeisha.
 
1.Utaratibu mzima wa ununuzi wa ndege zote 6.

2.Mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato.

3.Utoaji wa tender/zabuni ya utengenezaji wa pass za kusafiria za kielektroniki.

4.Pia Tume Huru ya Kijaji iundwe kuchunguza tuhuma za wanasiasa kununuliwa.

Tunapoita wengine mafisadi, tungependa uchunguzi juu ya mambo haya pia.

Haya yote ipo siku ukweli wake utajulikana tu na hapa sijaongelea ununuzi wa kibuko kibovu.

Ni mda sasa kunyanyua mikono na kuona jinsi tunavyoharibikiwa, wataalam wetu wote wameamu kujitoa ufaham, sasa tunafanyaje bwana? "WATANZANIA NI WANAFIKI SANA"
 
1.Utaratibu mzima wa ununuzi wa ndege zote 6.

2.Mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato.

3.Utoaji wa tender/zabuni ya utengenezaji wa pass za kusafiria za kielektroniki.

4.Pia Tume Huru ya Kijaji iundwe kuchunguza tuhuma za wanasiasa kununuliwa.

Tunapoita wengine mafisadi, tungependa uchunguzi juu ya mambo haya pia.

Haya yote ipo siku ukweli wake utajulikana tu na hapa sijaongelea ununuzi wa kibuko kibovu.
Utakufa kwa kihoro unamsotea Magufuli,pole sana
 
Back
Top Bottom