Maendeleo yanaweza kuletwa na MTU yeyote ambaye siyo mnafiki ,mwizi au mwongo!!
Watu wanasema CCM haiwezi kulete maendeleo kwa taifa LA Tanzania!! Mimi nasema inaweza kuwa kweli au siyo kweli!! Lakini pia hayawezi kuletwa na vyama vya upinzani vya sasa labda kije chama kingine lakini siyo chadema au NCCR au CUF!! Tatizo LA vyama hivi havijatubu ubinafsi na unafiki kiasi cha kuweza kuleta maendeleo kwa taifa ikiwa CCM itaondoka madarakani!!
Nina ushaidi huu kuwa bila kuacha ubinafsi au unafiki hatuendi popote!! Hata ndani ya CCM kinachokwamisha maendeleo ni watu wanafiki waliyojificha humo!
Mfano! Kwa miaka zaidi ya nane chadema walisema lowasa ni fisadi na ushahidi wanao!! CCM ikaona isiwe nongwa wakamnyima tiketi ya kuwa mgombea urais mwaka 2015!! Chadema wakamchukua waliyochafua na kumfanya mgombea urais!! Huu ni unafiki uliyopitiliza
.kipindi cha kamapeni 2015 ukawa walikubaliana kuachiana majimbo lakini figisu zilikuwa nyingi kiasi cha kuweka wagombea wa wili Wa ukawa!! Huu ni ubinafsi
Makonda amekuja na kupambana na madawa ya kulevya anaundiwa tuhuma lukuki utafikiri hapo nyuma hawakujua tuhuma hizo!! Huu ni unafiki uliyokubuku!!
Ndani ya vyama vyetu wako watu wanafiki na wabinafsi .hawo ndo maadui Wa maendeleo yetu kupitia vyama vyetu!! Wasipozibitiwa hakuna maendeleo tutakayoyapata!!! Kwa sababu ya unafiki na ubinafsi ukijitia kati kutenda mema utaundiwa makundi ya kukushambulia na kukufhofisha !!
Maendeleo yatakujaje?