Hizi ajira hewa 10,000+ ni nyingi sana na tayari zilikuwa kwenye bajeti. Sasa wataalam wanahitajika wengi tu na vijana hawana ajira. Mh Rais sasa umefika wakati kama ule mgawo wa sukari basi zigawiwe hizi ajira. Na hizi zinamchango endelevu kuliko sukari.