Kama account yangu ya Instagram inaniandikia hivi nifanyeje niepuke na tatizo hili

mkalisniper

Member
Feb 18, 2017
20
5
5d87cd045db2db3b090eb40238d50dfb.jpg

Nikiwa nataka ku follow mtu huniletea hiyo msg na nikiwa na unfollow mtu holeta hii msg Nisaidieni kwahili
 
Unafollow watu sana at same time,au unalike sana pic kwa speed na watu tofaut tofaut at the same time,ila wanakueka ivo mapumziko mda mfupi tu,then baadae wanakufungua unakua unaweza kulike na kucomment kama mwanzo tu,saa ingine after one day au two days wanakufungua it depends
 
Back
Top Bottom