Kalipio halitoshi wawajibishwe

Kalipio halitoshi wawajibishwe

Joined
Aug 15, 2023
Posts
7
Reaction score
7
Jana zilisambazwa picha za watawa wa shirika la Masista wa Africa wabenedictino huko Ndanda wakiwa wamevalia skafu za Ccm na kushika mabango ya Ccm ,pia wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa ccm na baada ya kulalamika kuhusu Hilo Kanisa Katoliki Tanzania TEC Leo limejibu kwa kupiga marufu.

Tunalipongeza kablnisakwa kutoka hadhrlarani na kukemea tukio lile linalochafua sura ya mama kanisa.

Pili sisi Waamini na waumini wa kanisa katoliki tunaona kukemee pekee haitoshi Bali watawa wale wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa kuanza kumuwajibisha Mama wa Kituo chao/Msimaizi mkuu wao ili kutuma ujumbe kuwa hakuna aliyejuu ya kanisa.

Maagizo ya Rais wa Baraza la maaskofu katoliki ni yafuatayo 👇 👇 👇 👇

////////////////

KANISA KATOLIKI NCHINI LIMEWEKA MARUFUKU KWA WATAWA WA KIKE NA KIUME NA KIONGOZI YEYOTE WA KANISA KATOLIKI KUJIHUSISHA NA KAMPENI ZA SIASA AU KUTAMBULISHWA NA CHAMA CHOCHOTE CHA KISIASA KAMA MSHIRIKA WAO. NA KUKUMBUSHWA KWAMBA JUKUMU LAO NI KUINJILISHA KADIRI YA WITO WAO

Katazo hilo limetolewa Septemba 25, 2025 na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap. wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kilele cha jubilee ya miaka 100 ya seminari kuu ya Mt. Paulo Mtume Kipalala Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Askofu Pisa amesema kuwa haitaruhusiwa kwa mtawa yeyote au mseminari katika mazingira yeyote yale atakayeruhusiwa kujihusisha na jambo lolote lenye taswira ya kisiasa hata kama mtawa angekuwa na ndugu mwenye kujihusisha na siasa.

Revocatus James Ng'oja
Activist politician and human rights Defender.
 
Mkuu,

Unataka wapewe adhabu gani?

Ulimsikia Askofu Pisa aliyetoa kauli ya marufuku alivyosema?

Askofu Pisa katoa kauli kuwa hawa masista ni watu wa dini hawafuatilii siasa wamekuwa manipulated.

Sasa mtu ambaye ni naive kwenye siasa hafuatilii kabisa mambo hayo, kawa manipulated, utamuadhibu kwa kosa gani?
 
Back
Top Bottom