Kali za 2018.. Mupya tupu


Umenikumbusha mpiga picha wetu wa mtaa miaka ile alikuwa anaitwa Msafiri. Anatembea na kamera yake ukimuita anakupiga picha Tsh 200 moja akisafisha mkanda baada ya wiki anakuletea picha yako.

Mapozi yake akiwa akapiga picha yalikuwa saa ingine yanakufanya picha zote unazo piga utokee umecheka bila kujijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…