Kali ya mwaka…!

Kali ya mwaka…!

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Jana nilikuwa msibani wadau... huu msiba jamaa alikunywa sumu.... sasa kabla hawajamzika ndo waktangaza kama kuna anayemdai marehemu aje wamlipe.

Kuna jamaa mmoja alijitokeza na kudai kuwa sumu aliyokunywa alikuwa amekopa kwake na anataka hela yake irudishwe coz ndio faida yenyewe
 
Dah, kwani alishawahi kuionja na kuona ubora wake?
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Makunguru International school Mbeya.
 
Back
Top Bottom