kali ya mwaka

Aman Cosmas

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
29
Reaction score
6
Mzee 1 alifika kijijini,Akakuta mtandao unapatikana vizuri
tu.Akamwandikia mkewesms bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mtu
mwingine ambaye ni mwanamke mfiwa{mjane}.alipopokea sms
asomemana watu walikuwa bado wana mtumia sms za kumfariji na
msiba aliposoma sms ile akazimia palepale mwanae kuona mama
kaanguka akaisoma ile sms ilikuwa imeandikwa hivi.MKE WANGU MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS YANGU KWAKO KUMBE HATA HUKU
NAKO MTANDAO UNAPATIKANA KAMA HUKO NIMEFIKA SALAMA NA
MATAYARISHO YA WW KUJA HUKU YAMEKAMILIKA HIVYO JIANDAE
HAITOFIKA WIKI IJAYO UTAKUWA UMEISHA NIFUATA HUKU MTOTO NAE
CHALI.
 
Aman Cosmas

Today 11:34
#1

Junior Member Array


Join Date : 17th March 2013
Posts : 5
Rep Power : 321
Likes Received0
Likes Given



Mkuu nimeangalia join date yako hapo nikawa mpole ila hii inaweza kuwa unairudia mara ya nne au zaidi!!!!
 
Kweli hii kali ya mwaka! Moja kwa moja walifikiri ile SMS imetoka ahera,,,, tehe..tehe...tehee...!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…