Kali ya mwaka; Kenya Overtakes US as World Leader in Crypto Trade

Chelewa Ufike...

Hata kama ya Mpesa electronic money wallets zilikuwepo haikuwa jambo geni, Mpesa ilikuja kurahisisha transactions kulingana na soko letu (it made sense kila mtu ana simu why not use simu kama wallet)? with investment and promotion it came to be...

Now tukija kwenye hii Cypto as an investment and money making its a gamble to say the least... (Don't me wrong Block Chain is the Future) but investing in whatever crypto comes tomorrow or day after...., what can I say...., Warren Buffet put it better....

“They don't reproduce, they can't mail you a check, they can't do anything, and what you hope is that somebody else comes along and pays you more money for them later on, but then that person's got the problem.”

Teknolojia zote huja kurahisisha miamala na maisha, na kila mojawapo huwa gamble, mimi nimeshuhudia mabadiliko tangu enzi zile na huwa nashukuru sana kwa waliothubutu maana ndio wametuwezesha kufika hapa tulipo na ndio watatuvusha tuendako.
Sio unakaa pembeni kazi yako kuponda tu kisha hatimaye unakipokea hicho ulichokiponda tena bila mabadiliko yoyote na bila utafiti wa kujifichia kwamba ulikua unajiridhisha kwanza....
 
Za kuambiwa changanya na zako..., ikija investment ya kwenye computer au teknolojia sawa (unafanya due dilligence)... Ikiwa ni mwendo wa kuvamia kila kipya kinachokuja ndio mwanzo wa kuwa mteja wa kina Ponzi, Murdoch n.k. mbona vingi vya kufanya vipo, risk na reward zina-differ kwahio mtu unachagua cha kufanya kutokana na uelewa wako...

Ila taifa zima au majority kuweka vipesa vyao kwenye kitu ambacho ni unknown to say the least and its outcome is anyone's guess is pushing ones luck. Huwezi kusema hio gamble ni sawa na mtu mwenye horticulture business yake ambayo anazalisha kwa kumwagilizia na wateja wanakuja mpaka mlangoni
 
Hongereni kwa kuongoza katika DECI. Waekezaji makini hawawezi kufanya upuuzi wa kuweka fedha zao au kuruhusu huo ujin*a
 
Za kuambiwa changanya na zako..., ikija investment ya kwenye computer au teknolojia sawa (unafanya due dilligence)... Ikiwa ni mwendo wa kuvamia kila kipya kinachokuja ndio mwanzo wa kuwa mteja wa kina Ponzi, Murdoch n.k. mbona vingi vya kufanya vipo, risk na reward zina-differ kwahio mtu unachagua cha kufanya kutokana na uelewa wako...

Ila taifa zima au majority kuweka vipesa vyao kwenye kitu ambacho ni unknown to say the least and its outcome is anyone's guess is pushing ones luck. Huwezi kusema hio gamble ni sawa na mtu mwenye horticulture business yake ambayo anazalisha kwa kumwagilizia na wateja wanakuja mpaka mlangoni

Tatizo nyie mnachelewa kwenye kuchanganya na zako baada ya kuambiwa, halafu unakuta sio kwamba mnachanganya na zenu, mnatumia tu hizo hizo za kuambiwa lakini mnachelewa kuzitumia.
Nimekuambia mpaka hapo, dunia imefika hapa tulipo kwa kuthubutu, wenzetu wanawaza kuingia Mars, nyie bado taifa lote mumeshikiliwa akili na Gwajima anawaambia mkichanjwa mtakua mazombi.
 
If I have seen further than Others is by Standing on the Shoulders of the Giants.....

Kiufupi mimi am a Globalist, hayo mambo ya mimi Mkenya wewe Mtanzania au Mimi Muafrika wewe Mu-Asia sina..., najua wote deep down ni Bin Adamu na kama tukisimama kama binadamu we will reach further (hizi divide and rule zinanufaisha wachache)...

That said..., mifumo hii mingi ya Get Rich Quick Schemes sio kwamba hainufaishi watu (wengine wananufaika) ila mwisho wa siku kuna wengi huwa wanabaki wakilia....

We all depend on each other and we all have something to offer..., its a shame instead of working together to conquer our environment..., we work against each other
 
Ok umefanya vizuri kugeuza gia na kuanza kubwabwaja filosofia, basi poa ubaki kwenye msimamo huo....
Halafu mimi sishabikii get rich quick schemes, kwanza sio muumini wake, ila nawakubali sana watu wenye uthubutu likija kwenye suala la teknolojia maana ndio taaluma yangu na huwa nashuhudia jinsi gani jamii inavyozidi kunufaika.
 
I just said where I stand, ili mjadala huu usiwe about people / nationalities but about issues....

Uthubutu is one thing... (aliyetengenezea idea ya crypto currency) mambo ya block chain n.k....., Lakini investing in any new any shiny thing bila kufanya due diligence is quite another....

Putting your own cash in a risky investment is one thing..., but convincing people to gamble their hard earned cash in something which has not undergone the test of time is quite another....
 
Sjaelewa hoja yako maana you're stating the obvious, hamna mtu anayewekeza bila kumakinika, new venture is all about calculated risk, you simply conduct thorough SWOT analysis and take the dive cautiously.....
Anyway nakuacha maana hapo vizuri sasa.
 
Marekani mwenyewe hayupo hata top 20 kwenye crypto users yaani ni sawa mwenye miguu ajipige kifua kwa kumshinda mbio kiwete 😅😅😅

Ila sababu kunyans are all thoughtless morons can't argue more!
 
We ni fala.

IMG_20210823_172549.jpg
 
Am very sure mibongolala wengi have heard this word 'crypto trade' for the very first time in this thread and most of them don't even know what it entails
 
Wabongo watakuja kustuka bei ya Bitcoin moja zaidi ya dola laki tano,kwenye fourth halving huko
 
Huwa mnachelewa kwenye kila kitu hata Mpesa iliwachukua muda sana kuielewa na kuikubali....
Tunachelewa kwasababu shibe inatusumbua, hatuna njaa ya kufanya vitu kwa pupa

BTW umekula?
 
Wabongo watakuja kustuka bei ya Bitcoin moja zaidi ya dola laki tano,kwenye fourth halving huko
Mbongo hawezi kustuliwa na vitu vidogo kama hivyo, vipi huko kenya njaa mmeamua kuishi nayo kama uviko?
 
Teknolojia zote huja kurahisisha miamala na maisha, na kila mojawapo huwa gamble, mimi nimeshuhudia mabadiliko tangu enzi zile na huwa nashukuru sana kwa waliothubutu maana ndio wametuwezesha kufika hapa tulipo na ndio watatuvusha tuendako.
Sio unakaa pembeni kazi yako kuponda tu kisha hatimaye unakipokea hicho ulichokiponda tena bila mabadiliko yoyote na bila utafiti wa kujifichia kwamba ulikua unajiridhisha kwanza....
Mbona nyinyi mlituponda kua hatujaweka lockdown and you still wanted our maize from us?
 
Back
Top Bottom