Kali nyingine ya Viongozi wetu....

Anselin katika vilaza walio JF nafikiri unaongoza. Acha kukurupuka mkuu; soma kwa makini kabla hujakurupuka na kuachia maneno machafu yasiyofanana hata na umri na heshima yako. Umesoma kweli mkataba huu au umerukia tu kwa sababu ulisikia wenzako wakisema mwaka umekosewa? Umesoma mkataba unasema mkataba wa zamani umeisha lini na mkataba mpya unaanza lini na unaisha lini? Usiongozwe na ushabiki tu tumia pia na akili yako kuchambua mambo. Umri wako sio wa kukurupuka na kuropoka tu uwe na busara kidogo. Kwa faida yako hebu soma tena mkataba huu ili utie busara kidogo. Je umechunguza na kuona Yondani amesaini tarehe gani yeye mwenyewe? Suala la kukosea tarehe ni suala kawaida wala si jambo la ajabu na ni jambo linalorekebishika kama contents zingine za mkataba zikiwa genuine wala usikichukulie kama kitu cha ajabu sana kinachokupandisha chati sana. Haya ni mambo ya kawaida tu yanayoweza kumtokea mtu yeyote. Au hujawahi wewe kukosea mkuu!!!!!!!!!!!!!! Akili za watu changanya na za kwako mkuu.

Hapo kwenyeblue, kwanza suala la mkataba(kitukinachoitwa mkataba) ni suala nyeti sana kisheria,ya kwamba ukamilifu wake unahitaji umakini wa hali ya juu sana,mkataba hasa unaohusiana na ajira hauingiwi kizembezembe tu kama Simba wanavyofanya, suala la kukosea tarehe kwenye document nyeti kama mkataba ni la ajabu sana.
Hata hivyo ni kweli kuwa mkataba huo ungeweza kurekebishwa lkn ni pale tu kama pande zote 2 (Yondani na Simba) wangekubaliana kwa pamoja kurekebisha,lkn unafikiri ni kwanini Simba waliuwasilisha huo mkataba hivyohivyo(na hayo makosa)? ni ksbb Yondani hayuko tayari kuubadilisha huo mkataba uwe sahihi na kwa kuuacha hivyohivyo huo mkataba utabaki kuwa "void/null" labda(get me right,labda) mpaka hapo itakapotimu 23rd Day of December 2012,anyway tusubiri maamuzi ya Kamati tuone, but to me kila kitu kipo wazi
Hapo kwenye red: nakataa,hayo mambo(ya kukosea kizembe kwenye document ya muhimu kama mkataba) si ya kawaida na wala hayawezi kumtokea mtu yeyote makini,labda Rages and Nyanges type.
Kwenye green aisee mimi huwa sikoseagi mkataba,nitakueleza...
Mfano mimi kibarua changu huku ninapopatia mkate wangu wa kila siku ni cha mkataba (contaractual basis) siku zote ninapomaliza kipindi kimoja,Mwajiri wangu anaponipa mkataba wa kipindi kingine huwa naweza kukaa nao hata wiki,nausoma where necessary nam'consult na Mwanasheria wangu kabisa ninapojiridhisha kuwa kila kitu kipo sawa ndo na'sign na kuurejesha kwa Mwajiri wangu,kamwe huwa si'sign kichwakichwa kama wengi wa wachezaji wa kibongo wanavyo'sign.
Kwa mantiki hiyo basi kwenye issue ya mkataba wa kisheria huwa sikosei.
Hapo kwenye purple sasa: Kwajinsi ulivyotafsiri hii kitu siwezi kuchukua akili zangu nikachanganya(mathalani) na za kwako,nitaumbuka Mkuu.
By the way hizo part unazozi'attach hapa sizo zilizoigharimu team yako,kwanini usiwe wazi tu kuwa hii part hapa ndo iliyoharibu kila kitu:-
attachment.php

Very unproffesional Mkuu,uliona wapi marekebisho ya mkataba ya kawa ya kukoleza (kuandika rekebisho juu ya kosa) hivi hawa Wazee kuna walichovuna chochote kweli kwenye hizo elimu zao?, funny enough hata mhuri na wenyewe umegeuzwa, ha ha ha ha ha!
 

Attachments

  • Mkataba.jpg
    Mkataba.jpg
    59.5 KB · Views: 151
WEWE NDO UMECHEMKA ZAIDI, Hiyo form ya pili hawakupeleka kwa kuwa hawana na Yondani hakusaini,kwa sababu hiyo form ndo inahusu mkataba wa yondani ambao ulipaswa uoneshe sign zote mbili za Yondani ya dole gumba na kuandika,so kwa hiyo simba hawana hiyo kwa sababu yondan hakusain na hataki kusign. Fikiri wewe siyo suala tu la kukosa form ila kukosa sign ya yondan na mkataba unaoonehsa detail zake.

Tazama vizuri utaona saini ya Yondani na dole gumba lake au giza mkuu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom