Kali nyingine ya Viongozi wetu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kali nyingine ya Viongozi wetu....

Discussion in 'Sports' started by Anselm, Aug 17, 2012.

 1. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii ni kali nyingine ya Viongozi wa Simba.
  Wakati dirisha la usajili likifungwa juzi,imethibitika kuna majina yame'appear kwenye team zaidi ya moja,1 wapo ya majina hayo ni la Kelvin Yondani maarufu kama "Vidic" ambaye jina lake limejumuishwa kwenye usajili wa Yanga na Simba.
  Akiongea na waandishi wa habari Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah alisema ili usajili wa mchezaji ukamilike Club inatakiwa iwasilishe TFF kabla ya dirisha la usajili kufungwa Form 2,1 inayoitwa Form Mama ambayo inakuwa na majina ya wachezaji wote na ya 2 Form ya usajili wa mchezaji ambayo inakuwa imejumuisha details zote za mchezaji ikiwemo historia yake,sahihi na dole gumba(finger print), akizungumzia usajili wa Yondani Angetile alisema Yanga ndo iliyowasilisha vielelezo vyote Form Mama na Form ya usajili wa Individual player wakati Simba wamewasilisha jina la Yondani kwenye form Mama tu wakikosa form ya usajili,hivyo katika Form Mama Simba wamewasilisha majina 28 na na katika Individuals form 27,aidha wakati Yanga wakiwasilisha mkataba hai wa mchezaji huyo,Simba wao wamewasilisha mkataba uliomalizika......(imagine mkataba uliomalizika)!!!!!!
  My take:
  Masuala haya yanasubiri kamati inayohusika na migogoro ya usajili ikae na kuyatolea maamuzi,lkn wakati tukisubiri Kamati hiyo ikae, binafsi najiuliza mara 2,2 kuna matatizo gani kwenye Vichwa vya Viongozi wa Simba,hivi kweli kwa hivyo vielelezo vyao walivyowasilisha TFF ikiwa Kamati itabariki Vidic aendelee kukipiga Jangwani kuna Mwana Simba atakayelalamika kweli?
  Viongozi wa Simba wamekuwa wakielezea kuwa Yondani ni mchezaji wao halali, binafsi najiuliza halali yao kwa vielelezo gani? Form nusu na mkataba uliomalizika?
  Najua Kamati itakapotoa baraka ya Vidic kuendelea kula bata Jangwani watarudi tena kwa wapenzi na wanachama wao na kuwalisha sumu kuwa TFF ni Yanga,siku hizi wameongeza na "ushuzi" mwingine ya kwamba TFF wanapewa hela na baadhi ya Viongozi wa Yanga, sitastaajabu baada ya kulishwa sumu hizo Wapenzi wa Simba wakaja na kitu cha dizaini hii......
  15.jpg
  Nonsense.

  Mashabiki,Wanachama na wote wanaoitakia mema Club ya Simba embu jaribuni kuwaangalia kwa jicho la 3 hao Viongozi wenu,watawazika mkiwa hai...shauri yenu.

  Nawasilisha!
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Wanatapatapa,walishachemka long time.
   
 3. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Anselm....
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  What?....
   
 5. M

  Mpwechekule JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watasema tff ni yanga na uchaguzi ujao tutawapiga chini
   
 6. M

  Masuke JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mnatamani na kutaka sana Simba kuwe na mgogoro lakini haitakaa mgogoro uwepo kwa sasa labda baadaye sana, mlimchukua Yondani kiwiziwizi ili Simba kuwe na mgogoro haukutokea, tukatolewa Kagame mapema mkaomba sana tupate mgogoro bado haukuwepo, mkaenda hadi Rwanda kutupoka Twite lengo lenu sisi tuwe na mgogoro bado hakuna kilichotokea, mkataka tena kumnyakua Ngasa kwa dau kubwa baada ya kusaini kwetu wakati katibu wenu alisema Ngasa hana thamani zaidi ya milion 20 lengo lenu sisi tufarakane na uongozi lakini wapi haikutokea, mmetutukana sana na kutuita majina ya kila namna kwenye hii forum wala hatujapanic, mnataka tumwondoe Rage kisa kadanganya kuhusu uwanja lakini hamjui hata time frame ikoje nyie mnasema tu kadanganya lengo tumchukie m/kiti wetu, leo tena unakuja na hili na jinsi usivyokuwa muungwana umekazania kusema mkataba umeisha kwa nini usiwe mkweli japo kwa kusema mkataba ulikuwa extended.

  Mimi nakwambia utaandika sana ili wadau wa Simba walio kwenye hii forum uwakatishe tamaa lakin hatutakata tamaa na bado tuna imani na uongozi wetu.

  Inawezekana kabisa Yondani akacheza Yanga lakini hiyo haina maana viongozi wa Simba waache kirahisi kama unavyofikiria.
   
 7. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huu ni mkataba ambao Yondani alisaini 23 Desemba 2011 na meweka dole gumba. Kama TFF hawapepesi macho ni nini?


  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]
   
 8. M

  MTUNZA AMANI Senior Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maktaba wa sasa siyo wa msimu uliopita, Yondani alishamaliza mkataba na simba na ndo maana hana mkataba mpya,kuwa na fikra pevu wewe,mmeshaambiwa kuwa form za Yondani hazijakamilika zinapaswa kuwa mbili,mnapeleka moja hv kweli Simba mnyama au picha?
   
 9. M

  Masuke JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapa sisi tunaongelea mkataba na siyo maktaba kama unavyojaribu kuelezea.
   
 10. M

  MTUNZA AMANI Senior Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukweli umeujua,vielelezo vya mkataba wa Yondani havijakamilika, kwa hiyo usajili hauwezi kufanyika kihuni kama Simba walivofanya,mna form mama lkn hamna detail za Yondani.
   
 11. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hivi mimi nichochee mfarakano wa Simba ili iweje,utanisaidia nini mimi kama Anselm huku madongo kuporomoka ninapokaa,mshahara wangu kwa kibarua ninachofanya utaongezeka au ile barabara mbovu ninayoitumia itaboreshwa?...grow up Masuke acha tabia za kina'mama...hapa tunajadili,ukatae ukubali hapo kwenu kama ambavyo inatokeaga kwetu kuna tatizo kama hamlioni sasa hivi iko siku mtaliona na utakuja kuthibitisha hayamaneno yangu
   
 12. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Foolish! wee ndo unapepesa macho,unafikiri kila mtu humu ndani JF ana akili za ki'bozo kama nyie (wadau wa Simba),huoni hata aibu kutuwekea mkataba uliobadilishwa mwaka kwa kukoleza,ndo maana nasema na nitaendelea kusema siku zote mpaka hapo nitakapo'prove otherwise,nyie ni Vilaza tu,hata mkilalamika eti tunawaita majina ya ajabuajabu potelea mbali,nyie ni "0" tukiwafatilia kwa makini hata madarasani mlikuwa/mtakuwa ni wazito,kwa taarifa yako mkataba huo kabla ya kubadilishwa kwa kukolezwa ndo uliowasilishwa TFF na one of kigezo walichotumia kumruhusu Yondani kuchezea Yanga Kagame ni kipengele hicho cha mwaka(Dec 2012 badala ya Dec 2011) ambacho hata Viongozi wenu walikiri na kujitetea eti ni human error....human error kwenye document ya msingi kama Mkataba?!!....mmekwenda kubadilisha kwa kukoleza "1" pale palipokuwa na "2" hlf unatutundikia hapa with confidence eti look kama TFF hawapepesi macho ni nini?, shame on U...aisee naona kuna haja ya Wahusika kuendesha warsha/kozi elekezi kwa aina hii ya Viongozi tuliyonayo.
  Sikia grndossy...siku nyingine kabla huja'post kitu chukua muda kidogo kukipitia,usiamini kila kitu kinachosemwa ku'postiwa sehemu na hao Viongozi wenu,mnajiaibisha kweupe.
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Wewe **** kweli huko kuona mabaya yako Simba peke yake ndo kujadili.
   
 14. M

  Maswalala Senior Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masuke hebu njoo na hoja ya kutetea na sio kutukanatukana tu au na we ndo walewale majuha{viongozi wa simba} hapa sio swala la kuona makosa ya simba tu anachojaribu ku address bwana Anselm ni kweli tupu kama na wewe unaona kunamakosa upande wa pili anzisha topic taja makosa watu wachangie kwa hoja zenye mashiko lakin si kufanya kama unavyo fanya ww huna point za kutetea hoja zako unakalia kutukana by the way anachofanya anselm anawasaidia wanamsimbazi kufungua macho na kujenga klab imara hop utakuwa umenipata
   
 15. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Asante Kaka....
   
 16. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Endeleen kuhalalisha vya haramu
   
 17. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako ni kutojua lugha iliyotumika au kipi usichoweza kuelewa kwenye hizo form? Hivi wewe kwa akili zako za kawaida kupeleka form pungufu inaweza kuwa issue ya kumhalalisha Yondani aende Yanga? Hebu fikiri kidogo kabla ya kusema. Hilo si suala la kuambiwa walete tu form ya ziada kama taratibu zote ziko sawa!!!!!!!!!!!!! Sema jingine kwa hilo umechemka mkubwa.
   
 18. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anselin katika vilaza walio JF nafikiri unaongoza. Acha kukurupuka mkuu; soma kwa makini kabla hujakurupuka na kuachia maneno machafu yasiyofanana hata na umri na heshima yako. Umesoma kweli mkataba huu au umerukia tu kwa sababu ulisikia wenzako wakisema mwaka umekosewa? Umesoma mkataba unasema mkataba wa zamani umeisha lini na mkataba mpya unaanza lini na unaisha lini? Usiongozwe na ushabiki tu tumia pia na akili yako kuchambua mambo. Umri wako sio wa kukurupuka na kuropoka tu uwe na busara kidogo. Kwa faida yako hebu soma tena mkataba huu ili utie busara kidogo. Je umechunguza na kuona Yondani amesaini tarehe gani yeye mwenyewe? Suala la kukosea tarehe ni suala kawaida wala si jambo la ajabu na ni jambo linalorekebishika kama contents zingine za mkataba zikiwa genuine wala usikichukulie kama kitu cha ajabu sana kinachokupandisha chati sana. Haya ni mambo ya kawaida tu yanayoweza kumtokea mtu yeyote. Au hujawahi wewe kukosea mkuu!!!!!!!!!!!!!! Akili za watu changanya na za kwako mkuu.
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 19. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,151
  Likes Received: 2,195
  Trophy Points: 280
  Hv yangu(mbwa)kinacho wakela nin mbna uongoz wa simb unasumbueni sana.kwa taarifa yenu huu ndo uongozi ulowagonga goli 5,yondani chukueni 2one atafanya nin uko,afta all mbna sie atusemi mlvo mambwa,kuikabzi timu kwa familia ya manji?
   
 20. M

  MTUNZA AMANI Senior Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WEWE NDO UMECHEMKA ZAIDI, Hiyo form ya pili hawakupeleka kwa kuwa hawana na Yondani hakusaini,kwa sababu hiyo form ndo inahusu mkataba wa yondani ambao ulipaswa uoneshe sign zote mbili za Yondani ya dole gumba na kuandika,so kwa hiyo simba hawana hiyo kwa sababu yondan hakusain na hataki kusign. Fikiri wewe siyo suala tu la kukosa form ila kukosa sign ya yondan na mkataba unaoonehsa detail zake.
   
Loading...