Ntuzu upo?naona umemwaga like na kutokomea,au na wewe ulikuwa unamfuatisha Vanessa nini?teh teh
Nimejificha huku kwa el nino napumzisha akili ndugu yangu maana yale majukwaa yetu yanaumiza kichwa na wiki hii kazi ngumu,sasa ufanye kazi ngumu,halafu uingie mtandaoni mada ngumu?no,bora huku unapiga mzigo huku unarefresh!
Ub4O wanajua sana, hata ukisikiliza The way you do things you do na Cherry ooh baby zote zipo bomba!
Watu mpo vizuri
hahahaaa nawew umo
mimi tena
haya bana karibu
asante
★mariah carey ft ne-yo angels cry
★paula de andawhen it was me
★laura pausin-it's not goodbye
★mario-let me love you
★avant ft Nicole Schwarzengger - lie about us
★celine dion-love me back to life {exclusive 2013 album}
★john legend -all of me
★????love paradise
★careless whispers
★shania twain when you kiss me
★kenny Rogers & Dolly parton -island of the stream
★time after time (Cindy version)
★shayne ward_breathless
★craig david_unbelievable
★ne-yo_together
★arash_broken angel
★toni braxton_unbroken my heart
★chris brown_say goodbye
★katty Perry_legendary lovers
★usher & Alicia keys_my boo
Wadau ntaandaa 20s list nyingine tomorrow ikiwa na kibao matata sana cha Kylie Minouge-Especially 4 U(1988)
Huu wimbo ukimfuatisha Vanessa anavyoimba hizo scale zake utatokomezwa kusikojulikana!Ukiusikiliza unaonekana ni melodic singing lakini kuna kona fulani za ghafla na hatari mno.Mara kaingia hapa,katokea huku,kapanda kule,karukia huko,yaani atakutembeza kwa miguu toka Jo'burg hadi Alexandria na bado utamkosa teh teh!scale za hatari zile,mara kapishana na vyombo,mara karudi kwenye mstari,mara kama vile anataka kwenda flat ghafla anarudi kwenye mstari,ghafla katoka tena,daah,dada mtundu huyu!mnaoelewa muziki wa darasani mmenisoma.
Narudia tena,hawa watu wamemaliza kila kitu kwenye muziki,wachoyo sana,hawakuwaachia wenzao japo tone!
Waacheni akina Nicki Minaj waimbe mapambio yao tu,manake hawajaachiwa hata makombo,teh teh!
Rhumba kali TaaraDance kwa jina ''Mapenzi Hayana Dhamana Official Video'' - by Mashauzi Classic Modern Taarab Dance https://www.youtube.com/watch?v=KaCsSat80HY